Je Mange kimambi anastahili zawadi gani

Je Mange kimambi anastahili zawadi gani

Mkuu pole sana hautaelewa mchezo anaoucheza
Kwanza ametengeza awareness kwenye jamii watu wa jua kinachoendelea tu .

Thus way akaitisha maandamano hiyo tarehe 29 October .ndio actions zitachukuliwa dhidi ya wala rushwa .

Kumbuka mange hizo taarifa nyeti anapewa na watu kutoka kwenye system ya serikali kwa hiyo watu wengi hawapendi mambo yanayo endelea kabisa kweny ili taifa .

Na utakumbu rais samai alisha sema watumishi wa uma wa acha kutoa siri atharani
 
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani?

Hakika anapambana

Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania khaki zao

SAYUNI BOY
Bora angeuziwe yeye Bongo
 
Huyu anastahili lock up, kama ni mtetezi kweli aje huku na awe mstari wa mbele kuongoza maandamano.
 
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani?

Hakika anapambana

Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania khaki zao

SAYUNI BOY
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani?

Hakika anapambana

Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania khaki zao

SAYUNI BOY
Huyo shetani mharibifu wa maisha ya watu anastahili moto wa milele
 
Back
Top Bottom