Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Mungu amekunyima akili.
Pole.
kwani nyie mmepata faida gani kula huo uchafu?
 
Pole mkuu kamweleze dr ukweli unaweza kupata ufumbuzi wa shem.
 
Mtoa mada ni mwanamke au mwanaume? Nijulisheni, nina hoja nzito!

ww nawe umekurupuka toka wapi ??
inamaana ulivyosoma hapo juu hujaelewa chochote??
 
anameza halafu akimaliza anakuletea mdomo umpige denda!" Agriiiiiiiii@#"!%",*:¥ .........
 

Its full of protein & fat
 
Athari yake kubwa ni kunya watoto

Na research zinaonesha kuwa wanaweza kuwa wengi hata zaidi ya tisa wenye rika tofauti tofauti kulingana na idadi ya mchezo wa kumeza
 

Wewe ninoma yaani kiepe tena?
 
soma hapa kidogohttp://ehealthforum.com/health/is-it-harmful-to-swallow-semen-t349160-a1.html
 
Watu kwakupenda sifa sasa anameza ili iweje ?
 
eti mtoa mada hizo manii we ushawahi kuzilamba?ukajua tu ladha yake!
 
niliona gazetini mwanaume kapata cancer ya koo kisa hizo mavitu za kunyonya , dah mpe pole ila ujue zitakuwa hizo sperm zimeji accumulate kifuani lazima akooe hapo tena sana tu , ila thats misuse of resources and energy . akacheki pia muhimbili yawezekana ni lung cancer manake mtu kukohoa asubuhi mpaka jioni si mchezo, afu all those three years unamgegeda tu si umuoe basi manake nanhi si imedepreciate vya kutosha ,duh
 

Kuna watoto wanakula makamasi hadi wakiwa watu wazima. Unakuta mtoto anaweka kidoloe puani na kuhamishia mdomoni!

Ila kwa hii case, ni vizuri kufanya vipimo kwa dada na kijana mwenyewe ili kujua kama hana STIs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…