Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Mungu amekunyima akili.
Pole.
kwani nyie mmepata faida gani kula huo uchafu?
 
Pole mkuu kamweleze dr ukweli unaweza kupata ufumbuzi wa shem.
 
anameza halafu akimaliza anakuletea mdomo umpige denda!" Agriiiiiiiii@#"!%",*:¥ .........
 
Habari gani Wanajamvi,,,,!!!
Naomba kwa wale wenye uelewa juu ya madhara anayoweza kupata mwanamke mwenye tabia ya kumeza manii

Kinachofanya nitake kujua juu ya jambo hili ni kutokana na demu wangu kupenda sana zoezi la 'sucking' na pale wazungu wanapoanza kutoka yeye huwa anameza na hatemi hata kidogo!!!

Ni takribani miaka mitatu sasa tupo kwenye mahusiano na kila tukitaka kufanya mapenzi basi lazima bao la kwanza liishie mdomoni na lazima ameze zote na kisha anatafuna chocolate na gemu inaendelea tena!!!!

Sasa kwa siku za hivi karibuni ameanza kukohoa sana na analalamika kifua kinamsumbua na tumefanya vipimo vinavyohusiana na kukohoa lakn hakuna tatizo lililoonekana na kaandikiwa dawa kibao lakn hali bado!!!

Naomba nipate mawazo juu ya tatizo hili na kama kuna uhusiano wowote wa kitaalamu kwenye umezaji wa shahawa na maumivu ya kifua na je nini cha kufanya?

Its full of protein & fat
 
Athari yake kubwa ni kunya watoto

Na research zinaonesha kuwa wanaweza kuwa wengi hata zaidi ya tisa wenye rika tofauti tofauti kulingana na idadi ya mchezo wa kumeza
 
hili tatizo la wifi sio manii kumeza
kibiyolojia zile ni protein in nature ni kama mtu agonge yai bichi na kulinywa

kama huwa ni nyingi My teacher told me hata kiepe inafaa kukaangia

TATIZO LA KIFUA CHA WIFI NI WEWE NA KITAMBI CHAKO KILO ZAKO 100 NGAPI??
tiba;CHANGE POSITION

Wewe ninoma yaani kiepe tena?
 
soma hapa kidogohttp://ehealthforum.com/health/is-it-harmful-to-swallow-semen-t349160-a1.html
 
Watu kwakupenda sifa sasa anameza ili iweje ?
 
eti mtoa mada hizo manii we ushawahi kuzilamba?ukajua tu ladha yake!
 
niliona gazetini mwanaume kapata cancer ya koo kisa hizo mavitu za kunyonya , dah mpe pole ila ujue zitakuwa hizo sperm zimeji accumulate kifuani lazima akooe hapo tena sana tu , ila thats misuse of resources and energy . akacheki pia muhimbili yawezekana ni lung cancer manake mtu kukohoa asubuhi mpaka jioni si mchezo, afu all those three years unamgegeda tu si umuoe basi manake nanhi si imedepreciate vya kutosha ,duh
 
hili tatizo la wifi sio manii kumeza
kibiyolojia zile ni protein in nature ni kama mtu agonge yai bichi na kulinywa

kama huwa ni nyingi My teacher told me hata kiepe inafaa kukaangia

TATIZO LA KIFUA CHA WIFI NI WEWE NA KITAMBI CHAKO KILO ZAKO 100 NGAPI??
tiba;CHANGE POSITION

Kuna watoto wanakula makamasi hadi wakiwa watu wazima. Unakuta mtoto anaweka kidoloe puani na kuhamishia mdomoni!

Ila kwa hii case, ni vizuri kufanya vipimo kwa dada na kijana mwenyewe ili kujua kama hana STIs!
 
Back
Top Bottom