Je, mapenzi ya kweli yanaweza kustahimili "mifuko mitupu" katika uchumi huu wa 2026?

Kuna maisha ya ndoa nje ya mapenzi! Hamtapendana milele kuna muda utafika mtabaki kama kaka na dada! Kama hakuna pesa unafikiri itakuwaje? Saa ingine kitakacho mbakiza huyo mwenzio ni hiyo pesa ukaepusha na kupigiwa nje!

Mtafarijiana hapa lakini huo upendo hautadumu milele, pesa ndio gundi whether u like it or not!
 
Hamtakula upendo
Hamtatibiwa na upendo
Hamtalipia bills na upendo
N.k nakadhalika nakadhalika nakadhalika.
Bila uwepo wa pesa n ngumu sana hasa kwa maisha ya sasa.
 
Hakuna anaemvumilia mwenzake hapo. Hao ni masikini wa kiume na masikini wa kike wapo kwenye mahusiano

Masikini wa kiume angekua na hela angetafuta mwanamke wa ndoto zake na masikini wa kike angekua na option bora zaidi angemwacha huyo masikini wa kiume. Kwahiyo wanavumiliana
 
Mapenzi hayanogi bila pesa, na si kwa mwanaume tu hata binti kama huna pesa, penzi halitanoga maana hutokuwa na mchango wowote ktk mapenzi zaidi ya michosho.

Ewe mwanamke kama hujiwezi acha malalamiko kwa huyo mwanaume wako, katafute pesa ndipo upate sababu ya kumnanga mwenzio, pia kwa mwanaume ni aibu kila siku wewe huna hela, ukiombwa hata mchango wa kikoba wewe huna lkn huchoki kumtaka binti wawatu kingono, huu ni uhuni.

Mapenzi na pesa ndio maisha haramu ya kizazi hiki, ni either uendane na mahitaji ya hiki kizazi au ubaki na mindset yako ya mapenzi ya zama zile za mababu ufe single au upate bahati ya anaefanana akili kama zako.

Kwa sasa kupata mwanamke muelewa asiye na tamaa, mwenye mapenzi ya kweli, ni ngumu, asilimia kubwa ya vijana wa kike na kiume wanawinda wapenzi mwenye fedha.

Hii ni aibu kwa hiki kizazi
 
Bro acha faraja za kijinga
Tafuta pesa/find money

1. Hawa wanawake waliowengi hata ukiwa na ulimi kama kinyonga unaingia chumvini hadi ulimi unagusa uterus, kama hauna hela bado we ni takataka.

2. Hata ungekuwa na wa punda, uwe unapiga hadi kwenye ncha ya moyo, kama hauna hela we ni mbwa tu kama mbwa zingine.

3. Hata umsugue hadi iwe na rangi kama moto, kama hakuna pesa we ni paka tu

4. Hata upge masaa bila kutoka juu hadi uje kutolewa na greda au winch, ndugu kama hauna pesa we ni nyoko tu

Bro
1. Tafuta hela uwe unamwaga viwili wote mnaridhika maana kuna kesho tena.
2. Tafuta hela upunguze kujieleza
3. Tafuta hela usiwe unapagawa kwa mapepo kanisani
4. Ukiwa na hela nguvu za kiume utazisikia kwa mwakaumbwa
5. Tafuta hela usijewarithisha watoto majina ya ukoo na mapenzi

ACHENI FARAJA ZA KIPUUZI TAFUTA PESA.
 
Kuna maisha ya ndoa nje ya mapenzi! Hamtapendana milele kuna muda utafika mtabaki kama kaka na dada! Kama hakuna pesa unafikiri itakuwaje? Saa ingine kitakacho mbakiza huyo mwenzio ni hiyo pesa ukaepusha na kupigiwa nje!

Mtafarijiana hapa lakini huo upendo hautadumu milele, pesa ndio gundi whether u like it or not!
Swadaktaaaa.
 
Provider aendelee kuwa provider that's nature.. What you provide i don't know..
 
labda sijaelewa ustahimilivu upi, kama ni kutochapiwa hata wenye hela wanachapiwa, kama ni kuishi pamoja kwa mda mrefu makapuku wengi tu hawana hela wanaishi na wake zao miaka nenda rudi.

kiufupi kati ya upendo na pesa hakuna cha kumfanya yeyote amvumilie mwenzake, yakiisha ni yameisha tu. hakuna formula

tuache kujifariji hapa jukwaani sijui tafuta hela, sijui piga sana miti, sijui mjali na mpende sana.

it's just your turn siyo hela, upendo, wala mbususu/mkuyenge.
 
Upendo wa kweli, huwafanya wapendanao waone suala ya kiuchumi ni lao, watashuka na kupanda pamoja. Watashauriana namna ya kuongeza kipato na mgawanyo wa majukumu. Watatunza akiba kwaajili ya familia yao na hasa watoto wao. Vibes match, na mpaka wataanza kufanana. Hii itawafanya wadumu kwenye mahusiano yao na kumudu mahitaji kitakuwa kipaumbele chao.

Likija suala la mmoja ajipange na mmoja aopolewe kutoka familia ya pangu pakavu; atajifa ya classic kulinda brand, na via vyake vya uzazi vitatumika kumkuzia mtaji
 
Bro acha faraja za kijinga
Tafuta pesa/find money

1. Hawa wanawake waliowengi hata ukiwa na ulimi kama kinyonga unaingia chumvini hadi ulimi unagusa uterus, kama hauna hela bado we ni takataka.

2. Hata ungekuwa na wa punda, uwe unapiga hadi kwenye ncha ya moyo, kama hauna hela we ni mbwa tu kama mbwa zingine.

3. Hata umsugue hadi iwe na rangi kama moto, kama hakuna pesa we ni paka tu

4. Hata upge masaa bila kutoka juu hadi uje kutolewa na greda au winch, ndugu kama hauna pesa we ni nyoko tu

Bro
1. Tafuta hela uwe unamwaga viwili wote mnaridhika maana kuna kesho tena.
2. Tafuta hela upunguze kujieleza
3. Tafuta hela usiwe unapagawa kwa mapepo kanisani
4. Ukiwa na hela nguvu za kiume utazisikia kwa mwakaumbwa
5. Tafuta hela usijewarithisha watoto majina ya ukoo na mapenzi

ACHENI FARAJA ZA KIPUUZI TAFUTA PESA.
Kwani umewaza nini mkuu?😆
 
Upendo wa kweli, huwafanya wapendanao waone suala ya kiuchumi ni lao, watashuka na kupanda pamoja. Watashauriana namna ya kuongeza kipato na mgawanyo wa majukumu. Watatunza akiba kwaajili ya familia yao na hasa watoto wao. Vibes match, na mpaka wataanza kufanana. Hii itawafanya wadumu kwenye mahusiano yao na kumudu mahitaji kitakuwa kipaumbele chao.

Likija suala la mmoja ajipange na mmoja aopolewe kutoka familia ya pangu pakavu; atajifa ya classic kulinda brand, na via vyake vya uzazi vitatumika kumkuzia mtaji
Sijui kwanini unajiita satan humu, matendo yako ni mema sana🫢
 
Back
Top Bottom