KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Huwa nawaza pesa tu mkuu ndiyo maana nachukia sana mada zinazozorotesha utafutaji wa hela.Kwani umewaza nini mkuu?
Hela ni ulinzi hapa dunian, hela ni sabuni ya roho...
Tutafute hela mkuu.
Huwa nawaza pesa tu mkuu ndiyo maana nachukia sana mada zinazozorotesha utafutaji wa hela.Kwani umewaza nini mkuu?
Kuna maisha ya ndoa nje ya mapenzi! Hamtapendana milele kuna muda utafika mtabaki kama kaka na dada! Kama hakuna pesa unafikiri itakuwaje? Saa ingine kitakacho mbakiza huyo mwenzio ni hiyo pesa ukaepusha na kupigiwa nje!
Mtafarijiana hapa lakini huo upendo hautadumu milele, pesa ndio gundi whether u like it or not!
sure mkuu,pesa ni zao la furaha ktk maisha iwe binafsi au ktk mahusiano ,pesa huleta vitu vizuri karibu yakoPesa sio kila kitu ila ina umuhimu sana ikiwepo. Kuna namna inafanya mambo yawe mepesi.
sure mkuu,pesa ni zao la furaha ktk maisha iwe binafsi au ktk mahusiano ,pesa huleta vitu vizuri karibu yako,shida nayo pesa inawaPesa sio kila kitu ila ina umuhimu sana ikiwepo. Kuna namna inafanya mambo yawe mepesi.
hakika ma mmchungajiKuna maisha ya ndoa nje ya mapenzi! Hamtapendana milele kuna muda utafika mtabaki kama kaka na dada! Kama hakuna pesa unafikiri itakuwaje? Saa ingine kitakacho mbakiza huyo mwenzio ni hiyo pesa ukaepusha na kupigiwa nje!
Mtafarijiana hapa lakini huo upendo hautadumu milele, pesa ndio gundi whether u like it or not!
Inategemea na alichokifuata kwako. Kama alifuata UPENDO hata kama huna hela atakuona unazo tena nyingi maadam anapata huo UPENDO kutoka kwako. Kama alifuata pesa na wewe basi hakikisha pesa zipo siku zote tena ziwe zinaongezeka ili aendelee kuwa na wewe!
- Wakuu, kumekuwa na mjadala kuwa mwanamke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na mwelekeo wa kifedha hata kama ana upendo wa dhati. Je, ni kweli upendo pekee unatosha kulinda ndoa au mahusiano, au pesa ndiyo gundi inayoshikilia hisia?"
Shetani akizeeka anarejea kuwa malaika... Ungeuona ujana wangu, hakika, ungefikiri roho yako haipo sehemu salama.Sijui kwanini unajiita satan humu, matendo yako ni mema sana🫢
Unautetea sana undani wako😅 shetani ndio anatupitia sisi tukapige tukio mahali, tukio likiisha anakukimbia!🥴Shetani akizeeka anarejea kuwa malaika... Ungeuona ujana wangu, hakika, ungefikiri roho yako haipo sehemu salama.
I believe, kuna kipindi kitafika utagundua wabaya watu, shetani huangushiwa jumba bovu.🙂🙂
wewe umefikisha sh.ngapi kwenye kunako Acc. yako?Huwa nawaza pesa tu mkuu ndiyo maana nachukia sana mada zinazozorotesha utafutaji wa hela.
Hela ni ulinzi hapa dunian, hela ni sabuni ya roho...
Tutafute hela mkuu.
Hapa umeua sana. Mwenye kusikia na aeleweUpendo wa kweli, huwafanya wapendanao waone suala ya kiuchumi ni lao, watashuka na kupanda pamoja. Watashauriana namna ya kuongeza kipato na mgawanyo wa majukumu. Watatunza akiba kwaajili ya familia yao na hasa watoto wao. Vibes match, na mpaka wataanza kufanana. Hii itawafanya wadumu kwenye mahusiano yao na kumudu mahitaji kitakuwa kipaumbele chao.
Likija suala la mmoja ajipange na mmoja aopolewe kutoka familia ya pangu pakavu; atajifa ya classic kulinda brand, na via vyake vya uzazi vitatumika kumkuzia mtaji
"Nilikushawishi, katu sikukulazimisha, dhambi umetenda mwenyewe jibu mashtaka mwenyewe"... Hakuna mzigo atakao beba shetani. Mkuu; hujachelewa, badili njia zako. Siku yaja, hakika utalia peke yako, huku ukishuhudia member wengine wa JF wakicheza na wanyama bustanini Edeni😁😁Unautetea sana undani wako😅 shetani ndio anatupitia sisi tukapige tukio mahali, tukio likiisha anakukimbia!🥴
Na wewe ukiwa wapi?"Nilikushawishi, katu sikukulazimisha, dhambi umetenda mwenyewe jibu mashtaka mwenyewe"... Hakuna mzigo atakao beba shetani. Mkuu; hujachelewa, badili njia zako. Siku yaja, hakika utalia peke yako, huku ukishuhudia member wengine wa JF wakicheza na wanyama bustanini Edeni😁😁
Money is always scarcewewe umefikisha sh.ngapi kwenye kunako Acc. yako?
Shetani ni kama prosecutor tu.. yupo kwajili ya kumjaribu na kumchallenge mwanadamu ili aonekane kama anastahili ukombozi. At the end, atarejea alipokuwepo... Sasa ninyi waovu sijui mtaweka wapi sura zenuNa wewe ukiwa wapi?
Wanawake ni waelewa na wavumilivu sana. Huwa flexible sana kwa mtu wanayempenda. Ukiona anaresist ujue umeumia.Shida kubwa hawa wanawake wamejaa tamaa na maisha ya anasa ni asilimia ndogo sana wanaovumilia lakini wengi hawawezi kama anakupenda ujue kabisa kuna wa Pembeni anae anaempa pesa
Kwahiyo sisi tunatoa wapi uovu pasipo yeye🤯Shetani ni kama prosecutor tu.. yupo kwajili ya kumjaribu na kumchallenge mwanadamu ili aonekane kama anastahili ukombozi. At the end, atarejea alipokuwepo... Sasa ninyi waovu sijui mtaweka wapi sura zenu
Wewe utakuwa umesoma vzr kitabu chetu🤝🏽 Mwingine akikataliwa au akitendwa tu huko na mmoja tunakoma ulimwengu mzima🤦🏽♀️Wanawake ni waelewa na wavumilivu sana. Huwa flexible sana kwa mtu wanayempenda. Ukiona anaresist ujue umeumia.