simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Kipato kinaweza kusaidia maisha ya mapenzi yaende vizuri, lakini mapenzi ya kweli hujengwa zaidi na heshima, uaminifu na kujali. Fedha huongeza utulivu, lakini moyo ndio huweka uhusiano hai.
Hakika mkuu tuzidi kuzitafutasure mkuu,pesa ni zao la furaha ktk maisha iwe binafsi au ktk mahusiano ,pesa huleta vitu vizuri karibu yako