Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,743
- 6,656
Pesa sio kila kitu ila ina umuhimu sana ikiwepo. Kuna namna inafanya mambo yawe mepesi.Yanaweza kustahimili, Pesa siyo kila kitu kwenye Mahusiano
SawaPesa sio kila kitu ila ina umuhimu sana ikiwepo. Kuna namna inafanya mambo yawe mepesi.
Hamtakula upendoKuna maisha ya ndoa nje ya mapenzi! Hamtapendana milele kuna muda utafika mtabaki kama kaka na dada! Kama hakuna pesa unafikiri itakuwaje? Saa ingine kitakacho mbakiza huyo mwenzio ni hiyo pesa ukaepusha na kupigiwa nje!
Mtafarijiana hapa lakini huo upendo hautadumu milele, pesa ndio gundi whether u like it or not!
Swadaktaaaa.Kuna maisha ya ndoa nje ya mapenzi! Hamtapendana milele kuna muda utafika mtabaki kama kaka na dada! Kama hakuna pesa unafikiri itakuwaje? Saa ingine kitakacho mbakiza huyo mwenzio ni hiyo pesa ukaepusha na kupigiwa nje!
Mtafarijiana hapa lakini huo upendo hautadumu milele, pesa ndio gundi whether u like it or not!
Kwani umewaza nini mkuu?😆Bro acha faraja za kijinga
Tafuta pesa/find money
1. Hawa wanawake waliowengi hata ukiwa na ulimi kama kinyonga unaingia chumvini hadi ulimi unagusa uterus, kama hauna hela bado we ni takataka.
2. Hata ungekuwa na wa punda, uwe unapiga hadi kwenye ncha ya moyo, kama hauna hela we ni mbwa tu kama mbwa zingine.
3. Hata umsugue hadi iwe na rangi kama moto, kama hakuna pesa we ni paka tu
4. Hata upge masaa bila kutoka juu hadi uje kutolewa na greda au winch, ndugu kama hauna pesa we ni nyoko tu
Bro
1. Tafuta hela uwe unamwaga viwili wote mnaridhika maana kuna kesho tena.
2. Tafuta hela upunguze kujieleza
3. Tafuta hela usiwe unapagawa kwa mapepo kanisani
4. Ukiwa na hela nguvu za kiume utazisikia kwa mwakaumbwa
5. Tafuta hela usijewarithisha watoto majina ya ukoo na mapenzi
ACHENI FARAJA ZA KIPUUZI TAFUTA PESA.
Sijui kwanini unajiita satan humu, matendo yako ni mema sana🫢Upendo wa kweli, huwafanya wapendanao waone suala ya kiuchumi ni lao, watashuka na kupanda pamoja. Watashauriana namna ya kuongeza kipato na mgawanyo wa majukumu. Watatunza akiba kwaajili ya familia yao na hasa watoto wao. Vibes match, na mpaka wataanza kufanana. Hii itawafanya wadumu kwenye mahusiano yao na kumudu mahitaji kitakuwa kipaumbele chao.
Likija suala la mmoja ajipange na mmoja aopolewe kutoka familia ya pangu pakavu; atajifa ya classic kulinda brand, na via vyake vya uzazi vitatumika kumkuzia mtaji