Je, mapenzi ya kweli yanaweza kustahimili "mifuko mitupu" katika uchumi huu wa 2026?

Daaah...naona unakabia kwa juu sana mkuu!
 
kuwe na sababu ya msingi na kipindi kisiwe kirefu hujapata hujapata swala sio upendo peke yake bali mapenzi yanahitaji hela ili mfurahie mahusiano yenu,pesa ni hitaji la muhimu sana na la msingi kwa kila binadamu,imagine mnapata mtoto halafu hamna hela ya kumtunza ,msidanganyane hela inachangia 90% ya penzi lenu kuchipua
 
hii dhana ilishapitwa na wakati miaka inaenda mambo yanabadilika,zamani utasikia mtu anakuambia unanipenda mimi au pesa zangu 🤣,mambo ya kuweka kwenye mzani pesa na penzi la kweli yakishakwisha, kuwa na hela mtunze mwenzako na watoto wenu mnaishije bila hela?
 
Pesa sio kila kitu ila ina umuhimu sana ikiwepo. Kuna namna inafanya mambo yawe mepesi.
sure mkuu,pesa ni zao la furaha ktk maisha iwe binafsi au ktk mahusiano ,pesa huleta vitu vizuri karibu yako,shida nayo pesa inawa
hakika ma mmchungaji
 
Inategemea na
  • Wakuu, kumekuwa na mjadala kuwa mwanamke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na mwelekeo wa kifedha hata kama ana upendo wa dhati. Je, ni kweli upendo pekee unatosha kulinda ndoa au mahusiano, au pesa ndiyo gundi inayoshikilia hisia?"
Inategemea na alichokifuata kwako. Kama alifuata UPENDO hata kama huna hela atakuona unazo tena nyingi maadam anapata huo UPENDO kutoka kwako. Kama alifuata pesa na wewe basi hakikisha pesa zipo siku zote tena ziwe zinaongezeka ili aendelee kuwa na wewe!
 
Sijui kwanini unajiita satan humu, matendo yako ni mema sana🫢
Shetani akizeeka anarejea kuwa malaika... Ungeuona ujana wangu, hakika, ungefikiri roho yako haipo sehemu salama.

I believe, kuna kipindi kitafika utagundua wabaya watu, shetani huangushiwa jumba bovu.🙂🙂
 
Unautetea sana undani wako😅 shetani ndio anatupitia sisi tukapige tukio mahali, tukio likiisha anakukimbia!🥴
 
Huwa nawaza pesa tu mkuu ndiyo maana nachukia sana mada zinazozorotesha utafutaji wa hela.

Hela ni ulinzi hapa dunian, hela ni sabuni ya roho...

Tutafute hela mkuu.
wewe umefikisha sh.ngapi kwenye kunako Acc. yako?
 
Hapa umeua sana. Mwenye kusikia na aelewe
 
Unautetea sana undani wako😅 shetani ndio anatupitia sisi tukapige tukio mahali, tukio likiisha anakukimbia!🥴
"Nilikushawishi, katu sikukulazimisha, dhambi umetenda mwenyewe jibu mashtaka mwenyewe"... Hakuna mzigo atakao beba shetani. Mkuu; hujachelewa, badili njia zako. Siku yaja, hakika utalia peke yako, huku ukishuhudia member wengine wa JF wakicheza na wanyama bustanini Edeni😁😁
 
Na wewe ukiwa wapi?
 
Shida kubwa hawa wanawake wamejaa tamaa na maisha ya anasa ni asilimia ndogo sana wanaovumilia lakini wengi hawawezi kama anakupenda ujue kabisa kuna wa Pembeni anae anaempa pesa
 
Na wewe ukiwa wapi?
Shetani ni kama prosecutor tu.. yupo kwajili ya kumjaribu na kumchallenge mwanadamu ili aonekane kama anastahili ukombozi. At the end, atarejea alipokuwepo... Sasa ninyi waovu sijui mtaweka wapi sura zenu
 
Shida kubwa hawa wanawake wamejaa tamaa na maisha ya anasa ni asilimia ndogo sana wanaovumilia lakini wengi hawawezi kama anakupenda ujue kabisa kuna wa Pembeni anae anaempa pesa
Wanawake ni waelewa na wavumilivu sana. Huwa flexible sana kwa mtu wanayempenda. Ukiona anaresist ujue umeumia.
 
Shetani ni kama prosecutor tu.. yupo kwajili ya kumjaribu na kumchallenge mwanadamu ili aonekane kama anastahili ukombozi. At the end, atarejea alipokuwepo... Sasa ninyi waovu sijui mtaweka wapi sura zenu
Kwahiyo sisi tunatoa wapi uovu pasipo yeye🤯
 
Wanawake ni waelewa na wavumilivu sana. Huwa flexible sana kwa mtu wanayempenda. Ukiona anaresist ujue umeumia.
Wewe utakuwa umesoma vzr kitabu chetu🤝🏽 Mwingine akikataliwa au akitendwa tu huko na mmoja tunakoma ulimwengu mzima🤦🏽‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…