Je, marais wa Afrika wameambizana kutumia magari ya Toyota kwenye safari zao?

Je, marais wa Afrika wameambizana kutumia magari ya Toyota kwenye safari zao?

Magari yameandaliwa na Tanzania! Nchi mwenyeji. US President ndo husafiri na magari yake ndege inayatanguliza Rais anayakuta
 
Habari wakuu!

Wakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na Toyota.

Kwa wale wajuvi wa mambo naomba mnieleze ni kwanini magari yao yanafanana na ni kwanini wanatumia ya kampuni ya Toyota?

Am just curious. Yangu ni hayo tu.
Serikal ya Tanzania ndyo magar yake yote kwa watumish waumma na hao marais hawaji na magar yao watazkuta uku ndy izo toyota
 
Serikal ya Tanzania ndyo magar yake yote kwa watumish waumma na hao marais hawaji na magar yao watazkuta uku ndy izo toyota
Sawa mkuu ila mbona rais wa Somalia kaja na BMW na wa Djibout kaja na BENZ ?
 
Habari wakuu!

Wakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na Toyota.

Kwa wale wajuvi wa mambo naomba mnieleze ni kwanini magari yao yanafanana na ni kwanini wanatumia ya kampuni ya Toyota?

Am just curious. Yangu ni hayo tu.
Kuba watu hampaswi hata kuandika kitu humu sasa ww hujui kama magari ni ya serikali yetu mnatuchosha nyie darasa la 4 hv ww ukienda kusalimia kijijini unabeba na maji yako
 
Uko nyuma sana ndugu.
Yale magari hawakutoka nayo huko kwao, yameandaliwa na serikali ya Tanzania kwaajili ya shughuli hiyo.
Tanzania kwenye suala la magari ya umma Toyota ndiyo chaguo nambari 1. Yawezekana Toyota wanawapa rushwa maafisa wa serikali na GPSA ili wapate upendeleo kwa kampuni ya Toyota kwenye manunuzi.
Mwambie kuwa kuna taasisi moja ya Serikali inaitwa GTA (Government Travel Agency). Chini ya wizara ya Ujenzi Ndiyo inamiliki hayo magari. Sometimes hukodi kama imezidiwa.
 
Mwambie kuwa kuna taasisi moja ya Serikali inaitwa GTA (Government Travel Agency). Chini ya wizara ya Ujenzi Ndiyo inamiliki hayo magari. Sometimes hukodi kama imezidiwa.
GTA ilikuwa chini ya TEMESA, imefutwa kiaina maana majukumu yake ni kama baadhi ya taasisi walikuwa wakiyafanya. Magari yao yaliyobaki wameyapaki pale Keko Mwanga karibu na MSD
 
Back
Top Bottom