Je, marais wa Afrika wameambizana kutumia magari ya Toyota kwenye safari zao?

Je, marais wa Afrika wameambizana kutumia magari ya Toyota kwenye safari zao?

Bado UJINGA ni adui mkubwa wa taifa. Ndugu kwa akili yako ukajua marais wote walikuja na magari yao kwenye ule mkutano? Hujui kuwa yale ni magari ya serikali ya Tanzania yaliyotumika maalum kuhudumia hao wageni? Nimesikitika sana.
Dharau pia ni adui mkubwa wa maendeleo ya mtu.
 
Back
Top Bottom