Uko sahihi pale ilipokuwa MT DEPOTGTA ilikuwa chini ya TEMESA, imefutwa kiaina maana majukumu yake ni kama baadhi ya taasisi walikuwa wakiyafanya. Magari yao yaliyobaki wameyapaki pale Keko Mwanga karibu na MSD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi pale ilipokuwa MT DEPOTGTA ilikuwa chini ya TEMESA, imefutwa kiaina maana majukumu yake ni kama baadhi ya taasisi walikuwa wakiyafanya. Magari yao yaliyobaki wameyapaki pale Keko Mwanga karibu na MSD
Hawakualikwa. Kwa muktadha wa Benki ya Dunia (wenye mkutano), nchi za Afrika ya Kaskazini hazihesabiwi kuwa Afrika bali eneo la Mediterranean. Afrika ni SSA (Sub-Saharan Africa). Hata EU na NGO kadhaa za kimataifa hutumia mgawanyo huo.Viongozi wa nchi zilizopo kaskazini mwa jangwa la Sahara hawapo kwenye huu mkutano.
Watakuwa wamekodi sehemu mojaWakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na Toyota.
Kenya NissanUko nyuma sana ndugu.
Yale magari hawakutoka nayo huko kwao, yameandaliwa na serikali ya Tanzania kwaajili ya shughuli hiyo.
Tanzania kwenye suala la magari ya umma Toyota ndiyo chaguo nambari 1. Yawezekana Toyota wanawapa rushwa maafisa wa serikali na GPSA ili wapate upendeleo kwa kampuni ya Toyota kwenye manunuzi.
Toyota no rahisi kuimudu,inaendana na barabara za afrikaMkuu ukichunguza hata mikutano ya SADC marais wanaenda kwa kutumia magari ya Toyota.
Subsaharan africa ni sisi weusi,hao waarabu huko kaskazini ni waafrika ila hawana shida za umemeHawakualikwa. Kwa muktadha wa Benki ya Dunia (wenye mkutano), nchi za Afrika ya Kaskazini hazihesabiwi kuwa Afrika bali eneo la Mediterranean. Afrika ni SSA (Sub-Saharan Africa). Hata EU na NGO kadhaa za kimataifa hutumia mgawanyo huo.
Kwani wote wakitumia gari za kampuni moja kuna tatizo gani au wewe unapungukiwa na nini. Cha msingi wafike eneo la mkutano hata kama wote wangetumia baiskeli za mbao za mninga wakifika eneo la mkutano salama haina shida.Habari wakuu!
Wakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na Toyota.
Kwa wale wajuvi wa mambo naomba mnieleze ni kwanini magari yao yanafanana na ni kwanini wanatumia ya kampuni ya Toyota?
Am just curious. Yangu ni hayo tu.
Kwani kuna ubaya kuhoji kwanini wanatumia magari ya Toyota?Kwani wote wakitumia gari za kampuni moja kuna tatizo gani au wewe unapungukiwa na nini. Cha msingi wafike eneo la mkutano hata kama wote wangetumia baiskeli za mbao za mninga wakifika eneo la mkutano salama haina shida.
Acha kejeli mkuu mi nimeuliza tu swali. Kama umeona la kipuuzi ungeachana nalo.Kuba watu hampaswi hata kuandika kitu humu sasa ww hujui kama magari ni ya serikali yetu mnatuchosha nyie darasa la 4 hv ww ukienda kusalimia kijijini unabeba na maji yako
GREAT WALL MOTORS ya kichina hiyo kampuni pia Wana kiwanda chake south Africa nahisi hizi pick up zimetokea Huko.kirefu chake
GREAT WALL MOTORS ya kichina hiyo kampuni pia Wana kiwanda chake south Africa nahisi hizi pick up zimetokea Huko.kirefu chake
Wapo vizuri wanajitahidi.GREAT WALL MOTORS ya kichina hiyo kampuni pia Wana kiwanda chake south Africa nahisi hizi pick up zimetokea Huko.
Mi pia niliwahi muuliza jamaa mmoja rafiki yangu,hivi ni kwanini serikali yetu wanapenda kutumia magari ya Toyota??,akanijibu kuwa serikali iliingia mkataba na kampuni hiyo tangu enzi hizoo,ambao ati uwezi kufutika kirahisi,lkn mi sikuridhika na jibu hilo,naomba nijue tena je kuna ukweli katika hilo??Uko nyuma sana ndugu.
Yale magari hawakutoka nayo huko kwao, yameandaliwa na serikali ya Tanzania kwaajili ya shughuli hiyo.
Tanzania kwenye suala la magari ya umma Toyota ndiyo chaguo nambari 1. Yawezekana Toyota wanawapa rushwa maafisa wa serikali na GPSA ili wapate upendeleo kwa kampuni ya Toyota kwenye manunuzi.
Hakuna mkataba ,serikali inanunua gari toyota tanzania au wakala haijafungwa kununua toyota tuMi pia niliwahi muuliza jamaa mmoja rafiki yangu,hivi ni kwanini serikali yetu wanapenda kutumia magari ya Toyota??,akanijibu kuwa serikali iliingia mkataba na kampuni hiyo tangu enzi hizoo,ambao ati uwezi kufutika kirahisi,lkn mi sikuridhika na jibu hilo,naomba nijue tena je kuna ukweli katika hilo??
Kwa pamoja tujifunze kuchangia kwenye mitandao ya kijamii bila kufanya personal attack, hili ni ratizo kubwa kwa watz, hasa mtu anapohisi anajua zaidi kuliko muuliza swali au mtoa hoja.🙇🙇🙇 ok asante. Mungu akusamehe sana na anisaidie kulipa mazur kwako kunitukania mzaz wang ambayo yy akukujibu ila n mm tu kweny kupeana mawazo mawili matatu
Bado UJINGA ni adui mkubwa wa taifa. Ndugu kwa akili yako ukajua marais wote walikuja na magari yao kwenye ule mkutano? Hujui kuwa yale ni magari ya serikali ya Tanzania yaliyotumika maalum kuhudumia hao wageni? Nimesikitika sana.Habari wakuu!