Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Msukule naona unataka kulia jamani poleee toto ya sidechick,toto ya hawara.

Yeah JF kiboko ya waongo toto ya hawara ilikuja kubisha hapa haijaachika ikaumbuliwa na kukimbia ID yake
Hahahaha. Ndoa ya mamaake Mange imekuumbua umehamia miguu yake sasa hivi umeishia kwenye ndoa ya Mange.

Umegeuka popcorn hutulii...
 
Leta hizo picha za ndoa niumbuke zaidi🀣🀣🀣🀣watunga stories huwa mnafurahisha

#totoyahawara
Hahahaha. Ndoa ya mamaake Mange imekuumbua umehamia miguu yake sasa hivi umeishia kwenye ndoa ya Mange.

Umegeuka popcorn hutulii...
 

Kama kimambi alikua na pesa inakuaje mama mtu aishi maisha ya shida
 
Dr Mwele kumbe alikuja kufanya diet akapungua sana hiyo picha naona hapo akiwa na Mange hakua hivyo alikua pande la Mwanamke Paja nHiii nhaaa....
Ushaskia mtu kafariki na kansa

Bila shaka alikuwa anaumwa kitambo hata afya yake ilitetereka taratbu we unadhani diet
 
Alikuwa beki 3 wake na ndio alimpeleka ma ulaya huko
 
Mbona Mange alishawahi kusema mama yake ni Mmakonde? Hata picha aliionyesha nafikiri Anne Kilango ni Mparea ama?
Mama yake mange ni Asha Said Hamis ambaye kwao ni Lindi mjini.Asha alikuwa mke wa Mzee Kimambi wakati bado wanahustle.Mzee alipata mkwanja akawa mtu madu mama yake Mange akaamua kumuacha ,akajenga Tandika mtaa wa Lituhi ndo aliishi hapo hadi kifo chake.Katika maisha yake pia alipata watoto wengine wawili,Farida na Allen na baba yake Allen ni marehemu Dr.Makongoro Mahanga.Hii [emoji817]% true.
 
Acha uongo wewe mkuu,Asha Said Hamis hakuwa maskini na hakuishi Manzese,moja ya nyumba zake iko Tandika mtaa wa Lituhi.Asha akifanya kazi NBMM na huko ndo alikutana na Dr. Makongora Mahanga baba wa mtoto wake wa kiume anaitwa Allen.Nikiwatembelea kwao hadi Lindi nadhan mtaa wa Mpilipili.Mzee Said Hamis akijivunia watoto wake wawili wa kike akiwemo Asha .Udogoni alibezwa na majirani kwa kuzaa watoto wa kike,lakini walimpa heshma Sana maana walikuwa na uwezo kiuchumi.Mwingine alikuwa na mijengo na mmojawapo uko Tabata .Mjengo mwingine watoto wake waliuuza wakanunua nyumba zao wenyewe.Mange hakuwa na haja ya kumficha mama yake kwakuwa mama yake alikuwa amejitosheleza.
 
Mzee Kimambi alikuwa na pesa haswa,alikuwa anachukua tender za kujenga majengo ya serikali mojawapo ni VETA ya Mtwara.Wakati anajenga huko ndo Babu wa Mange Mzee Said Hamis na mkewe ambaye alikuwa step mom wa Mama yake Mange walipata fursa ya kuwapatanisha Mange na Mzee Kimambi maana baada ya Mange kupata mimba ya Bhoke Mzee alikasirika Sana.Mzee Kimbi alikuwa maarufu kwa sababu ya pesa zake.
 
Kama kimambi alikua na pesa inakuaje mama mtu aishi maisha ya shida
Aisee humu kumejaa uongo! Mama yake Mange alikuwa Maskini! Hapana,namjua physically,napajua hadi kwake na kwao Lindi.Mange hakutaka kuwa naye karibu na hakumlea na alikuwa very strict.Mange alimficha kwa sababu zake yeye na siyo sababu ya umaskini.Mfanyakazi wa NBMM awe kama inavyotajwa,hapana bana.
 
Dah jf watu wanamafaili aisee
Info za ndan kama hizi huwezi pata kwenye gazet lolote πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hata faili lako lipo, ngoja siku ukizingua utaona zawadi yako.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unaelewa maana ya neno "may be"???? Uwe unasoma kwa kuelewa hata kama unamfahamu huyo mama au unafahamu alipokuwa anakaa, soma vizuri nilichoandika utaelewa sijasema anakaa Ila nimesema kulingana na yanayosemwa nami nimeweka maneno ambayo yanamaanisha ni speculation tu .
 
Mambo ya may be na speculations vya kazi gani? Nimetoa facts.
 
Na anashea TBL nafikri baba yao aliwafungulia na ana nyumba Kindononi pia!!Mange yuko vzr hana shida ndogo ndogo!
 
Ahsante jf!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…