cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kheeeeh kumbe duuuuh.Ndio ukweli, Mobimba na marehemu Dr. Ni mtu na dadaake, wakati Mange na Marehemu ni mtu na step mom (tena mom ambaye alihusika sana kumsaidia huyo dada wa insta)!
Ila Mange alinunua kesi, maana ali pair na ex wa mobimba aliyeko USA kumfanyia personal attack baharia, ila wanajuana vizuri tu!