ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wagweno hawapendi kujitambulisha kama wapare, Ila maeneo hayo ya Kahe, Mabogini, Nyumba ya Mungu, Msitu wa Tembo kote huko ni mchanganyiko wa makabila mengi wakiongozwa na wapare.Kahe, chekereni, mabogini, new land kule Kuna wapare wengi, japokua pia Kuna makabila mengine kama wamasai
Wakahe na wagweno wengi wanapenda kujitambulisha kama wapare sababu tamaduni za kipare wanazitumia sana japokua Wana lugha zao