Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mama yake Mange alikuwa mmakonde, Asha. Mwenyezi Mungu amjaalie RehmaMbona Mange alishawahi kusema mama yake ni Mmakonde? Hata picha aliionyesha nafikiri Anne Kilango ni Mparea ama?
Nilisikia alikua na kansaDr Mwele kumbe alikuja kufanya diet akaoungua sana hiyo oicha naona hapo akiwa na Mange hakua hivyo alikua pande la Mwanamke Paja nHiii nhaaa....
Hapana ni mama wa kambo alikuwa.Huyu mwala ndio alimzaa mange?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pia Mange anapenda watu wenye majina makubwa, ilikuwa fahari kwake kuwa mtoto wa Mwele.
Baba Mange ana umri gani by the way?Mwele alikuwa mwanamke wa Baba Mange
Watu mpo gizani sana anyway, babake mange alifariki miaka mingiBaba Mange ana umri gani by the way?
Sasa jamani tutawajua wote? Ngoja nikupe kashule kadogo:Watu mpo gizani sana anyway, babake mange alifariki miaka mingi
Ila yule mama alikuwa na tabasamu zuri,,, inaonekana alikuwa charming sanaalikua pande la Mwanamke Paja nHiii nhaaa..[emoji848][emoji848]
Tatizo hayo yote Yana majibu sema wewe ni mtoto wa juzi, ungekuwepo enzi ya Mkapa ndio ungeelewa Kimambi ni nani na kwa nini mwanae alijikuta anakaa na celebrities na kwa nini babake aliweza kuweka mtoto wa Malecela Kama kimada wake ingali nae ni msomi mkubwa tu.Sasa jamani tutawajua wote? Ngoja nikupe kashule kadogo:
Position ya mtu katika society inakuwa determined na vitu vitatu
1. Wealth....Mali uliyonayo...eg MO[emoji16][emoji16][emoji16]
2. Education......kiwango Cha elimu...Lisu
3. Outstanding performance....matukio/matendo ya kutukuka/ ya ushujaa uliyoyafanya kama mchezaji mpirà mzuri, mkimbiaji mzuri, mwimbaji mzuri ...... and the like.. wonderful performance...Filbert Bayi
Sasa huyu alikuwa na kipi Kati ya hayo?
Nisamehe bure
Mobimba shemejie mzee kimambiOoh ko kulikua na undugu fulani kati ya mobimba na Dada wa taifa
Ulipoandika lisu nikakuona andazi tu lisu ana ELIMU ganiSasa jamani tutawajua wote? Ngoja nikupe kashule kadogo:
Position ya mtu katika society inakuwa determined na vitu vitatu
1. Wealth....Mali uliyonayo...eg MO[emoji16][emoji16][emoji16]
2. Education......kiwango Cha elimu...Lisu
3. Outstanding performance....matukio/matendo ya kutukuka/ ya ushujaa uliyoyafanya kama mchezaji mpirà mzuri, mkimbiaji mzuri, mwimbaji mzuri ...... and the like.. wonderful performance...Filbert Bayi
Sasa huyu alikuwa na kipi Kati ya hayo?
Nisamehe bure