Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Kwa hiyo mwele hakuwahi kuolewa ama aliolewa akaachika akawa mchepuko wa huyo mzee kimambi?
 
Tatizo hayo yote Yana majibu sema wewe ni mtoto wa juzi, ungekuwepo enzi ya Mkapa ndio ungeelewa Kimambi ni nani na kwa nini mwanae alijikuta anakaa na celebrities na kwa nini babake aliweza kuweka mtoto wa Malecela Kama kimada wake ingali nae ni msomi mkubwa tu.

Soma alama za nyakati dogo
Wakati Kimambi darasa la saba….maisha haya😂
 
Wewe acha kupotosha. Mwele alikuwa mwanamke wa Baba Mange, waliishi pamoja for more than a year Upanga. So Mwele ni mamaake wa kambo Mange na uhusiano wao umenoga sana kwa sababu Mange hakumpenda mamaake wa kambo wa nyumba kubwa (Mama wa kaka zake akina Anil na Kimambi) so seems alifurahi baba kuwa na mwanamke mwingine.
Vipi Dr mwele ameacha watoto??
 
Tatizo hayo yote Yana majibu sema wewe ni mtoto wa juzi, ungekuwepo enzi ya Mkapa ndio ungeelewa Kimambi ni nani na kwa nini mwanae alijikuta anakaa na celebrities na kwa nini babake aliweza kuweka mtoto wa Malecela Kama kimada wake ingali nae ni msomi mkubwa tu.

Soma alama za nyakati dogo
Eleza kinagaubaga. Acha kututisha
 
Tatizo hayo yote Yana majibu sema wewe ni mtoto wa juzi, ungekuwepo enzi ya Mkapa ndio ungeelewa Kimambi ni nani na kwa nini mwanae alijikuta anakaa na celebrities na kwa nini babake aliweza kuweka mtoto wa Malecela Kama kimada wake ingali nae ni msomi mkubwa tu.

Soma alama za nyakati dogo
One, these are minor issues to occupy my time and mind; and lastly I can say for sure naweza hata kumzaa baba yako/mama yako! Sitanii! na wala siyo nimekutukana, hapana, nasema ukweli wa umri wangi. 1961 NILIKUWA NA AKILI ZANGU TUNAPATA UHURU IN STD 6!. WASEMAJE? FUTA NENO DOGO BASI!
 
Nimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.


Mhhh hakuolewa alikua girlfriend wa muda mfupi na Alimpenda na kumlea Mange jinsi alivyo naamisha ukorofi
 
Pia Mange anapenda watu wenye majina makubwa, ilikuwa fahari kwake kuwa mtoto wa Mwele.


Upo sahii kabisa Mange alimkana Mama yake Mzazi anakaa Tandika maswekeni akajipenyeza kwa Mwele Kua ndio mama Yake wakati Mwele alikua ni Mchepuko wa baba yake
I think as long Mange aliona Dr Mwele amemuelewa na kukubali kumchukulia alivyo despite ya wengi kuona Kama hafai hiyo inatosha sana Mange kumpa thamani huyo dada.

Pia naona hata huyo dada alikuwa anamtembelea Mara nyingi tu na wameishi kwa kuheshimiana so nadhani mheshimu anayekuheshimu.

The fact kwamba mange hajakulia kwa mamake yaweza kuwa sababu ya yeye kutokuwa na ukaribu na ***** ambaye alikuja kufariki kipindi ambacho bado maybe alikuwa anahitaji matunzo au msaada, hatujui labda leo mamake angekuwa hai labda angekuwa alimjengea nyumba au akamhamisha huko manzese na kumpeleka kwingine.

You may choose kumpa heshima mtu yeyote anayekupa value.


Mange Hakutaka watu wamjue Mama yake mzazi alikua anamficha Ficha Yule mama kwa sababu ya umaskini japo alishaanza Kua na kipato mama yake akiwa bado hajafariki.

Naona alikuja kugundua Kua mama ni Mama when it was too late akakosa Baraka za mama yake
 
Mbona Mange alishawahi kusema mama yake ni Mmakonde? Hata picha aliionyesha nafikiri Anne Kilango ni Mparea ama?
Anna kilango ni mke wa pili baada ya mama Yao dr mwele kufariki
 
Wakuu habari za muda huu.

Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu wakiwekwa chumba kimoja mmoja lazima avuje damu.

Sasa kubwa nalotaka kujua ivi kuna uhusiano gani kati ya Mwanamama huyu Mange kimambi na familia ya kina Malecela, hasa kutokana na hili la kuondokewa kwa Dr malecela ndugu yake na Le mutuz.

Je, hawa watu wawili Le mutuz na Mange kimambi kipindi wanarushiana maneno walikua wanatuigizia hali ya kuwa wanafahamiana?

Ova.

Kama ni mama ake au sio .nyinyi inawahusu vipi acheni umbea Fanyeni kazi
 
Back
Top Bottom