Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Nimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.
Mzee malechela alimuoa Anne kilango malechela mke wa pili ambaye ni mpare, na mange ni mpare. Hili Pia linawezekana
 
Tatizo hayo yote Yana majibu sema wewe ni mtoto wa juzi, ungekuwepo enzi ya Mkapa ndio ungeelewa Kimambi ni nani na kwa nini mwanae alijikuta anakaa na celebrities na kwa nini babake aliweza kuweka mtoto wa Malecela Kama kimada wake ingali nae ni msomi mkubwa tu.

Soma alama za nyakati dogo
Actually Jumanne Kimambi umaarufu wake ulianzia tangia kipindi mzee wa msoga anautafuta ubunge. Kimambi ndiye alikuwa muongoza timu ya kampeni enzi hizo kwani alikuwa na mpunga wa kutosha. JK aliyoingia kwenye uwaziri pia ilimsaidia Sana Kimambi kupata contracts mbalimbali serikalini kama kujenga majumba, fumigation, barabara etc... Hata alivyofariki JK alikuja kumzika Kijijini kwao ORIA, kata ya Kahe, Moshi Vijijini. Huyu mwamba pesa ilimtembelea mapema Sana miaka hiyo mpaka watu wakawa wanasema anauza mapoudaaa...
 
One, these are minor issues to occupy my time and mind; and lastly I can say for sure naweza hata kumzaa baba yako/mama yako! Sitanii! na wala siyo nimekutukana, hapana, nasema ukweli wa umri wangi. 1961 NILIKUWA NA AKILI ZANGU TUNAPATA UHURU IN STD 6!. WASEMAJE? FUTA NENO DOGO BASI!
Madogo wamekosa adabu sana mkuu, yaani mtu umeshuhudia Nyerere alikabidhiwa uhuru na mkoloni halafu dogo anazingua?!!
 
Upo sahii kabisa Mange alimkana Mama yake Mzazi anakaa Tandika maswekeni akajipenyeza kwa Mwele Kua ndio mama Yake wakati Mwele alikua ni Mchepuko wa baba yake



Mange Hakutaka watu wamjue Mama yake mzazi alikua anamficha Ficha Yule mama kwa sababu ya umaskini japo alishaanza Kua na kipato mama yake akiwa bado hajafariki.

Naona alikuja kugundua Kua mama ni Mama when it was too late akakosa Baraka za mama yake
Tango pori hili... Huyo mama wa kimakonde hakuwa kapuku.. Uzuri ni kwamba Mange yumo humu na nimjuavyo ataibuka kujibu hizi maneno aidha humu au kwenye app yake..
 
Acha ligi za Kijinga, mimi namjua mpaka Babu yake Mange... Kimambi, wadogo zake, Kaka yake Kimambi wote ni wapare wako hapo Kijiji cha ORIA...
Kahe, chekereni, mabogini, new land kule Kuna wapare wengi, japokua pia Kuna makabila mengine kama wamasai

Wakahe na wagweno wengi wanapenda kujitambulisha kama wapare sababu tamaduni za kipare wanazitumia sana japokua Wana lugha zao
 
Back
Top Bottom