Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Kila ninapozidi kusoma comments najikuta narudi juu kumuangalia huyo Mama kwa uzuri zaidi
 
Reactions: gim
Mkuu NBMM ni nini
 
Mmh ila talaka yake alijitahidi kuficha...Alikuja kukiri kuwa kweli ameachika baada ya kichwa panzi kuchomoa betri ila yeye alikuwa anajifanya bado yupo na muzungu anajirekodi video anajichezesha mbele yake
 
Mwele hakuwahi olewa wala kuzaa?
Lakin wamefahamiana toka zamani sana
@paskali alisha claim anamfahamu mwele vilivyo na hata kuwa MC kwenye harusi ya Mwele( japo hii story yake kajichanganya vilivyo!!)

Hata hivyo inasemekana (Mwele)aliolewa lakini ndoa haikudumu.
Huyo Aliemwoa sii baba yake Mange kama anavyojinadi mitandaoni, na yupo mpaka leo anaendelea na maisha mengine (ni mtu wa asili ya nyanda za juu kusini , mtumishi wa jeshi)
 
Na anashea TBL nafikri baba yao aliwafungulia na ana nyumba Kindononi pia!!Mange yuko vzr hana shida ndogo ndogo!
Asante sana kwa taarifa zaidi,na pia kuna member hapo juu kaweka details zaidi juu ya Mama yake Mange,halafu watu waje hapa na blah blah zao za "mtoto wa sidechick,mara kashindwa kesi ya mirathi"
 
Sasa ndiyo tunapata nondo za ukweli na uhakika zaidi,asante sana Mkuu.
 
Kahe, chekereni, mabogini, new land kule Kuna wapare wengi, japokua pia Kuna makabila mengine kama wamasai

Wakahe na wagweno wengi wanapenda kujitambulisha kama wapare sababu tamaduni za kipare wanazitumia sana japokua Wana lugha zao
Wakahe lugha yao haifanani kabisa na kipare, kwa mbali wanasikilizana kichaga... Ila tukirudi kwenye mada wazazi wake Jumanne Kimambi wote walikuwa wapare.
 
Wakahe lugha yao haifanani kabisa na kipare, kwa mbali wanasikilizana kichaga... Ila tukirudi kwenye mada wazazi wake Jumanne Kimambi wote walikuwa wapare.
Wakahe wengi wanajitambulisha kama wapare wakiwa huku mjini, ni kama wagweno lugha Yao inaendana kwa kiasi flani na wachaga in short wale ni wachaga Ila wanajitambulisha kama wapare
 
Si kweli kabisa, wakahe na wapare ni makabila mawili tofauti kabisa, bora ungesema mpare na mgweno
Kwa taarifa yako kigweno na kichaga vinaendana sana, kuliko hata na kipare, mgweno akiongea mpare aambulii kitu

Mchaga akiongea mgweno anamsikiliza japo sio sana, mgweno anijiita mpare sababu amekaa sana na mpare same kwa wakahe wamekaa sana na wapare
 
Kuna tofaut gani kati ya wagweno na wapare??? Ila kahe na kule upareni (same ) ni sehem mbili tofaut sana
Wapare unaowaona hapo Kahe asili yao ni kule milimani kama unavyowaona wapare walioko Usangi, Kizungo, Gonja nk.. Hawa wapare walihama toka milimani na Kuja tambarare kama Mwanga, Lembeni, Kileo mpaka Kahe. Walipifika Kahe enzi hizo lilikuwa ni pori tuu na waliwakuta hao watu wanaitwa WAKAHE miaka hiyo.
 
Huyo Farida na Allen bado wako hai?

Mbona Mange hajawahi kuwapost zaidi ya kuongelea wale wa step mom tu[emoji848][emoji848][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…