Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anashea TBL nafikri baba yao aliwafungulia na ana nyumba Kindononi pia!!Mange yuko vzr hana shida ndogo ndogo!
Mobimba na mwele zilikua haziivi?Mobimba mpuuz Sana et juz katweet Niko kweny msiba with the big boss Joe with dady at Seaview
Mkuu NBMM ni niniAisee humu kumejaa uongo! Mama yake Mange alikuwa Maskini! Hapana,namjua physically,napajua hadi kwake na kwao Lindi.Mange hakutaka kuwa naye karibu na hakumlea na alikuwa very strict.Mange alimficha kwa sababu zake yeye na siyo sababu ya umaskini.Mfanyakazi wa NBMM awe kama inavyotajwa,hapana bana.
Mmh ila talaka yake alijitahidi kuficha...Alikuja kukiri kuwa kweli ameachika baada ya kichwa panzi kuchomoa betri ila yeye alikuwa anajifanya bado yupo na muzungu anajirekodi video anajichezesha mbele yakeWe acha tu,Enzi za "Mashauzi yanataka pesa au Muke ya Muzungu" [emoji1] ilikuwa ni moto.Mange ana mapungufu yake mengi tu lakini inapokuja swala la kuweka wazi mambo yake inapohitajika huwa hafichi kitu,iwe mazuri au mabaya.Inaonekana wengi wameanza kumjulia Instagram ndiyo maana wanakuja na story za uongo za mambo ambayo enzi za u-turn tayari yalishawekwa wazi.
@paskali alisha claim anamfahamu mwele vilivyo na hata kuwa MC kwenye harusi ya Mwele( japo hii story yake kajichanganya vilivyo!!)Mwele hakuwahi olewa wala kuzaa?
Lakin wamefahamiana toka zamani sana
Nation Board of Materials Management,sahivi PSPTBMkuu NBMM ni nini
Imebidi nicheke,tumemuumbua uongo wake anakuja na mengine 😂Heehh....kumbe una yako mengine zaidi ya huu mjadala. All the Best mama
Asante sana kwa taarifa zaidi,na pia kuna member hapo juu kaweka details zaidi juu ya Mama yake Mange,halafu watu waje hapa na blah blah zao za "mtoto wa sidechick,mara kashindwa kesi ya mirathi"Na anashea TBL nafikri baba yao aliwafungulia na ana nyumba Kindononi pia!!Mange yuko vzr hana shida ndogo ndogo!
Sasa ndiyo tunapata nondo za ukweli na uhakika zaidi,asante sana Mkuu.Mama yake mange ni Asha Said Hamis ambaye kwao ni Lindi mjini.Asha alikuwa mke wa Mzee Kimambi wakati bado wanahustle.Mzee alipata mkwanja akawa mtu madu mama yake Mange akaamua kumuacha ,akajenga Tandika mtaa wa Lituhi ndo aliishi hapo hadi kifo chake.Katika maisha yake pia alipata watoto wengine wawili,Farida na Allen na baba yake Allen ni marehemu Dr.Makongoro Mahanga.Hii [emoji817]% true.
Wakahe lugha yao haifanani kabisa na kipare, kwa mbali wanasikilizana kichaga... Ila tukirudi kwenye mada wazazi wake Jumanne Kimambi wote walikuwa wapare.Kahe, chekereni, mabogini, new land kule Kuna wapare wengi, japokua pia Kuna makabila mengine kama wamasai
Wakahe na wagweno wengi wanapenda kujitambulisha kama wapare sababu tamaduni za kipare wanazitumia sana japokua Wana lugha zao
Wakahe wengi wanajitambulisha kama wapare wakiwa huku mjini, ni kama wagweno lugha Yao inaendana kwa kiasi flani na wachaga in short wale ni wachaga Ila wanajitambulisha kama wapareWakahe lugha yao haifanani kabisa na kipare, kwa mbali wanasikilizana kichaga... Ila tukirudi kwenye mada wazazi wake Jumanne Kimambi wote walikuwa wapare.
Exactly mkuu..Huyu na yule mzee mwingine mchaga aliemiliki ule mgahawa nyuma ya posta mpya walikuwa washikaji wakubwa.
Aisee, pale palikuwa na supu na mtori wa kukutoa jasho asubuhi na mchana.
Si kweli kabisa, wakahe na wapare ni makabila mawili tofauti kabisa, bora ungesema mpare na mgwenoMpare na mkahe wote ni wapare, kama wachaga wa kibosho na rombo
Kwa taarifa yako kigweno na kichaga vinaendana sana, kuliko hata na kipare, mgweno akiongea mpare aambulii kituSi kweli kabisa, wakahe na wapare ni makabila mawili tofauti kabisa, bora ungesema mpare na mgweno
Wapare unaowaona hapo Kahe asili yao ni kule milimani kama unavyowaona wapare walioko Usangi, Kizungo, Gonja nk.. Hawa wapare walihama toka milimani na Kuja tambarare kama Mwanga, Lembeni, Kileo mpaka Kahe. Walipifika Kahe enzi hizo lilikuwa ni pori tuu na waliwakuta hao watu wanaitwa WAKAHE miaka hiyo.Kuna tofaut gani kati ya wagweno na wapare??? Ila kahe na kule upareni (same ) ni sehem mbili tofaut sana
Miaka ya tisini huko...Hiyo ni miaka gani mkuu?
Siyo hasira ni kijicho tuu, amemtumbua NIMRI kesho yake mwenzie kaula huko internationally [emoji23][emoji23]Ndio maana marehem jpm alikuwa na hasira na Dr sna anajuwa kbsa kuwa anampa mange data za serekali
Huyo Farida na Allen bado wako hai?Mama yake mange ni Asha Said Hamis ambaye kwao ni Lindi mjini.Asha alikuwa mke wa Mzee Kimambi wakati bado wanahustle.Mzee alipata mkwanja akawa mtu madu mama yake Mange akaamua kumuacha ,akajenga Tandika mtaa wa Lituhi ndo aliishi hapo hadi kifo chake.Katika maisha yake pia alipata watoto wengine wawili,Farida na Allen na baba yake Allen ni marehemu Dr.Makongoro Mahanga.Hii [emoji817]% true.