Ni kweli hakuna muungano utakaokubali kujitoa muhanga kwa ajili ya USA [emoji1258] tena, mara kwa mara kila nchi inapojaribu kuisaidia USA moja kwa moja hiyo nchi inajikuta inapoteza mwelekeo pande zote..FRANCE , BRITAIN [emoji636], GERMAN [emoji629] zote hizo ni nchi zilizokuwa na nguvu na ushawishi nyanja zote lakini baada tu ya kufungamana na USA wote wamepoteza mvuto na ule ushawishi wao kidunia.
Hapo mashariki ya kati alikuwa amejifunga kwa Saudi [emoji1210] , Jordan [emoji1137], Bahrain [emoji1041] n.k ili tu kuzuia ushawishi wa Iran [emoji1130] anayeonekana tishio kwa Israeli [emoji1134] mshirika wake wa kudumu .
Mambo yamebadilika sasa na dunia inaelekea uelekeo sahihi na ni suala la muda tu Ira
n na Saudi [emoji1210] watakuwa kitu kimoja na kuweka tofauti zao za kimadhehebu, jambo ambalo litakuwa pigo kubwa kwa USA na Israel na vizazi vyao vyote.