Je, Marekani ina uwezo wa kupigana na Houthi kuilinda Israel?

Siku hizi kuondoa usumbufu mtu huwa anatuma dude moja tu basi biashara inaisha.
 
Mmarekani baada ya kula kichapo cha Taliban mpaka kasalimu amri kawa muoga sana wa vita za uso kwa uso, haziwezi.

Ataoigana na Houthi kwa kuwaagizia mizinga ya mbali (missailes) tu. Uso kwa uso atawachonganisha na Wayemeni wengine waingie nao vitani wauwane wenyewe kwa wenyewe.

Kama alivyofanya Libya. Na anavyofanya Somalia, Somalia aliwapata Wakenya wenye tamaa akawanunuwa ndiyo wamekuwa "proxy" yake.
 
Kijeshi yupo mbali ila hajaizidi IRAN ☫ [emoji1130]
Iran ni kama north Korea tu they have nothing to protect ndio maana wanaogopeka huwez kua na akili timamu unaijali familia yako halafu ukubali kuanzisha ugomvi na homeless ambaye hana chakulinda zaid ya korodani zake
 
Ubaya wa vita vya kufitinisha watu vinataka pesa nyingi na pesa Marekani zimemuishia.
Jengine watu wengi hawaiamini na hawaihseshimu tena Marekani kama ilivokuwa huko nyuma.Hivyo hizo pesa kidogo wanaweza kutoa zikaliwa kama kule Afghanistan na Iraq.
 
Mkuu kama ni hivyo basi kumbe Iran ni bonge moja la kubwa jinga. Kwanini asijiamini, inakuwaje anavitegemea vikundi vya vibaka kama Houths, Hezbollah na Hamas.
Vita ni mbinu.
 
Ubaya wa vita vya kufitinisha watu vinataka pesa nyingi na pesa Marekani zimemuishia.
Jengine watu wengi hawaiamini na hawaihseshimu tena Marekani kama ilivokuwa huko nyuma.Hivyo hizo pesa kidogo wanaweza kutoa zikaliwa kama kule Afghanistan na Iraq.
Marekani anatumia pesa za Wasaudi kwa namna moja au nyingine.

Kiongozi wa mwisho kumwamini wa Kisaudi alikuwa King Faisal.
 
Sio kweli.Houth kwa sasa ni kikundi hatari kwa Marekani na kitaipasua kichwa na kushindwa kuilinda Israel
usipokuwa makini ndio unaweza ukaona ni kichekesho.
Kuna tofauti ya kupigana na kupigwa. Hao waasi kinachofuatia ni kipigo tu na siyo kupigana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hapa umeandika kweli,kwa kinachompata Russia pale Ukraine, lazima na yeye (Russia) anatafuta mwanya Ili aweze kulipiza popote USA atakapojiingiza kichwakichwa, sidhani kama US atakuwa boya kias hiki na kuuingia huu mtego

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli,mfalme Faisal alikuwa tofauti sana na wafalme waliomfuatia.
Ndiyo Wamarekani wakafanya kila njia wakamuuwa. Bado hajatokea kama Faisal.

Aliisimamisha mafuta, ndani ya saa 24 wakasimamisha ujinga wao na wakakaa kimya mpaka walipomuuwa.

Hawa wa sasa ni mazayuni wamepachikwa pacjikwa.
 
Mkuu kama ni hivyo basi kumbe Iran ni bonge moja la kubwa jinga. Kwanini asijiamini, inakuwaje anavitegemea vikundi vya vibaka kama Houths, Hezbollah na Hamas.
Hahaha yani unataka Iran watumie fikra zako waite upendavyo lalkini wanajua wanachokifanya bahari nyekundu haipitiki
 
Kasha omba msaada kwa wengine waje wamsaidie
 
Ni jambo la hatari sana kuchezea sharubu za Simba mwenye njaa.
 
Wamarekani sera yao sasa hivi ni kuwagombanisha muuwane wenyewe kwa wenyewe.

Anakusanya nchi zenye tamaa zikqpigane na Wahouthi.

Wahouthi leo wamewaudhi tena Wamarekani, wamesema meli za Warusi. hazishambuliwi.

Maana yake watu wakitaka kupitisha bidhaa zao hapo watumie meli za Kirusi.

Yote katika kucheza na akili za Wamarekani tu.
 
Ni jambo la hatari sana kuchezea sharubu za Simba mwenye njaa.
Hao wadhaj7l8kanaberaknessntaobtokanwsl7potolrws mkulubna Afghanistan.

Sasa hivi hawana ujanja zaidi ya kutumia majeshi ya nchi za wenye njaa tu, kama wanavyowatumia Wakenya walipotolewa mkuku Somalia.

Hii post aione MK254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…