Mpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]Kufuatia Mchezaji Faisal kunukuliwa kwenye mahojiano alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo ya na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Abdallah nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Hili swala Fei ni anatafuta namna ya kufanya ili anonekane ana haki ya kusepaKufuatia Mchezaji Faisal kunukuliwa kwenye mahojiano alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo ya na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Abdallah nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
AhaaMchezaji Faisal Salum ni wa Yanga SC
hahahahahaYanga.
Kasema hivyo kweli, mimi nimemskia.Mpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]
Mkuu wewe umesikilizia CLOUDS FM, yeye kasikilizia KILAUZIMpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]
Shwaaaaaa!Alikuwa anasinzia imempita kama umeme nukuu hiyo.[emoji1787]
Wewe umesahau Makombora yake, Block Buster yenye kuipa Yanga matokeo ushindi uwanjani.?Aondoke asiye na umuhimu, je ni yupi asiye na umuhimu?
Timu imecheza michezo ya kombe la Azam federation cup pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imecheza kombe la shirikisho imetinga fainali pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imebeba kombe la NBC pasipo huyo mtu kuwepo
Hivyo asiyekuwepo wakati timu inafanya vizuri na kupata mafanikio, huyo hana umuhimu atupishe tu.
Mpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]
Makombora yake atawapelekea wengine wenye uhitaji nao. Naona tunaelekea kwenye mechi ya marudiano ya kombe CAFCC hivyo kama kawaida ishu za Feisal zimeibukaWewe umesahau Makombora yake, Block Buster yenye kuipa Yanga matokeo ushindi uwanjani.?