Je Mashabiki wa Yanga, kati ya Engineer Hersi na Feisal nani aondoke?

Qatif

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
379
Reaction score
860
Kufuatia Mchezaji wa Klabu ya Yanga Feisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo na Klabu ya Yanga.

Swali kwa Mashabiki wa soka wa Klabu ya Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Salum, nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
 
Kufuatia Mchezaji Faisal kunukuliwa kwenye mahojiano alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo ya na Klabu ya Yanga.

Swali kwa Mashabiki wa soka wa Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Abdallah nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Mpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]
 
Walipita wachezaji wakubwa kuliko yeye na Yanga still ikabaki mpaka leo imekuwa na msimu bora kuliko misimu yote.Yy kama kaamua kuendesha mambo yake kihuni, Yanga inasimama kwenye sheria,aendelee na michango yake tutakutana CAS.
 
Kufuatia Mchezaji Faisal kunukuliwa kwenye mahojiano alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo ya na Klabu ya Yanga.

Swali kwa Mashabiki wa soka wa Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Abdallah nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Hili swala Fei ni anatafuta namna ya kufanya ili anonekane ana haki ya kusepa
 
Aondoke asiye na umuhimu, je ni yupi asiye na umuhimu?

Timu imecheza michezo ya kombe la Azam federation cup pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imecheza kombe la shirikisho imetinga fainali pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imebeba kombe la NBC pasipo huyo mtu kuwepo

Hivyo asiyekuwepo wakati timu inafanya vizuri na kupata mafanikio, huyo hana umuhimu atupishe tu.
 
Mpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]
Pole sana, kumbe kusikiliza kote huko Interview hili limekupita, kweli huwezi kujua kila kitu,

Ebu fuatilia vizuri bila pupa utajua hilo
 
IMG_7476.jpg
 
Aondoke asiye na umuhimu, je ni yupi asiye na umuhimu?

Timu imecheza michezo ya kombe la Azam federation cup pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imecheza kombe la shirikisho imetinga fainali pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imebeba kombe la NBC pasipo huyo mtu kuwepo

Hivyo asiyekuwepo wakati timu inafanya vizuri na kupata mafanikio, huyo hana umuhimu atupishe tu.
Wewe umesahau Makombora yake, Block Buster yenye kuipa Yanga matokeo ushindi uwanjani.?
 
Back
Top Bottom