Je Mashabiki wa Yanga, kati ya Engineer Hersi na Feisal nani aondoke?

Anachofanya Fei ni uhaini kutaka Rais aliyechaguliwa na wanachama aondoke
 
Kwahiyo kwa kauli yako hii ndio itanifanya nimjue huyo Feisal?
Kwani ulipokuwa unachangia mada kuhusu Baba yake Messi na Mama yake Feisal, kwenye Uzi mwingine, alikuwa Feisal yupi? Au umeamua tuchoshane tu kwenye hili?
 
Unajua lolote kuhusu Pacta sunda servanda?
 
Kwani ulipokuwa unachangia mada kuhusu Baba yake Messi na Mama yake Feisal, kwenye Uzi mwingine, alikuwa Feisal yupi? Au umeamua tuchoshane tu kwenye hili?
Kwani wewe hapa unamzungumzia Feisal yupi?
 
Kwani wewe hapa unamzungumzia Feisal yupi?
Jibu kwanza acha kuruka, umesema hujui Feisal, nikakuuliza yule ambaye ulikuwa unachangia mada kuhusu Baba yake Messi na Mama yake Feisal kwenye Uzi mwingine alikuwa Feisal yupi?
 
Ndo anachotakaa awapishee, ila nyie hamtaki sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenisaidiia kile ambacho huwa natakaga kuandika, Yanga kwann wanambania Fei kuondokaaaa??
 
Hili sakata la Feisal linaweza kuwa lina tip vitu vinavyoogopesha kidogo. Kwanza kuna vitu Feisal hajafunguka na kilio cha wakili kinabeba ujumbe maana yule si wakili mwepesi.

Lakini naanza kupata picha hata dogo aliyebadili dini kwa umri wake inawezekana kuna influence ambayo siku moja tunaweza kuja kuifahamu.

Pamoja na mdhamini kuibadili Yanga na kuleta mabadiliko makubwa ila inawezekana kuna ideology behind the scenes ambazo huku nje ni ngumu kuzijua na Feisal amekataa kuzifata.
 
Bora hata wee umelionaa hilo, na hili linafanyika kwa wachezaji wazawa tyuuh.
 
Aondoke Hersi. Manji yupo ataikodisha tena Klabu yetu ya yanga huku Fei toto akikiwasha.
 
Ni roho mbaya za waswahili. Furaha kwao ni kumuona akitaabika.
 
Nimezidi kumdharau Fei Toto. Sio tu hajasoma kama anavyosema, Bali hata za kuzaliwa haziko. Anafaa kuitwa FEI JINGA.

Yanga shikilieni hapo hapo Hadi anye.
 
Jibu kwanza acha kuruka, umesema hujui Feisal, nikakuuliza yule ambaye ulikuwa unachangia mada kuhusu Baba yake Messi na Mama yake Feisal kwenye Uzi mwingine alikuwa Feisal yupi?
Wewe mambo ya uzi mwingine yanakuhusu nini? mimi nakuuliza wewe kwenye huu uzi wako,

Wewe ndio unaruka ruka kama mtu aliyekanyaga kaa la moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…