Je, Mashati ya vitenge na ya kung'aa ya rangi moja ndio mavazi maalumu ya Wanaume walokole?

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
742
Hivi kuna mavazi maalum ya kuwatambua watu waliokoka hasa wanaume?

Mashati kama ya vitenge au ya rangi moja kama pink, blue etc. Maana naposkia fulani kaokoka mara nyingi nikimcheki kapiga shati la kitenge au shati fulani la rangi moja lakini la kung'aa
 
Dini moja tu huwa na nguo maalum ya kuswali. Kanzu na bargashea. Nyingine sijawahi kusikia kama ipo hiyo nguo rasmi.
 
yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !

karibu sana
 
Wee surali upana mita 6? Hyo ni suruali au dela, hata dela sio hvyo
 
yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !

karibu sana
Kuvaa hivo ushamba tu

Piga zako shart jeupe kati modo kalii na kiatu kirefu chenye shingo fupi....
 
yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !

karibu sana
Walokoke wa wapi hao mnaoongelea?
 
Dini moja tu huwa na nguo maalum ya kuswali. Kanzu na bargashea. Nyingine sijawahi kusikia kama ipo hiyo nguo rasmi.
Hata haya mavazi si ya dini ya ki "Islam" yalikuwepo kabla ya hiyo dini haijafika,ni mavazi ya utamaduni wa ki Arab,dini iliyaadapt tu baadae,
Sasa mliyoipokea hiyo dini,mnafikiri u Arab ni uislam,sio kweli,wajameni,
Nimefatilia historia ya vazi lile linalofunika mwili wa mwanamke kuanzia macho,kichwa,mpaka miguu,BURQA,
Hili vazi,kwa maeneo,ya jangwani,ambako vile vile ndio Arabs wengi wanapatikana,ni sehemu isiyo na miti,au vichaka,na ina mchanga mwingi,unaotimka mara kwa mara,na wenyeji waliweka makazi yao,karibu na chanzo cha maji,sasa vazi hili,linamsaidia mwanamke kwanza akitaka kujisitiri anaenda tu pembeni,anafanya yake,bila kujidhihirisha maungo yake,na pale usoni,kitambaa mile,kina msaidia kukinga macho take,na vumbi Kali,linalopeperuka,
Hebu fikiria,watu wanaoishi,Eskimo,Graceland,au sehemu yoyote yenye baridi,mpaka joto ushuka mpaka nyuzi 0,unafikiri kwa ubunifu wao,wangebuni vazi kama kanzu na baragashia,kwa ajiri ya kuvaa kwenye shughuri zao?
 
yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !

karibu sana
Suti hata kama kuna jua kali yaani utakuta mtu anasweat balaa...kavaa suti anatembea na daladala.
Sijui nani kawaambia kuwa kuokoka ni kuvaa suti hata kama sehemu/hali ya hewa hairuhusu.
 
Hata haya mavazi si ya dini ya ki "Islam" yalikuwepo kabla ya hiyo dini haijafika,ni mavazi ya utamaduni wa ki Arab,dini iliyaadapt tu baadae,
Sasa mliyoipokea hiyo dini,mnafikiri u Arab ni uislam,sio kweli,wajameni,
Nimefatilia historia ya vazi lile linalofunika mwili wa mwanamke kuanzia macho,kichwa,mpaka miguu,BURQA,
Hili vazi,kwa maeneo,ya jangwani,ambako vile vile ndio Arabs wengi wanapatikana,ni sehemu isiyo na miti,au vichaka,na ina mchanga mwingi,unaotimka mara kwa mara,na wenyeji waliweka makazi yao,karibu na chanzo cha maji,sasa vazi hili,linamsaidia mwanamke kwanza akitaka kujisitiri anaenda tu pembeni,anafanya yake,bila kujidhihirisha maungo yake,na pale usoni,kitambaa mile,kina msaidia kukinga macho take,na vumbi Kali,linalopeperuka,
Hebu fikiria,watu wanaoishi,Eskimo,Graceland,au sehemu yoyote yenye baridi,mpaka joto ushuka mpaka nyuzi 0,unafikiri kwa ubunifu wao,wangebuni vazi kama kanzu na baragashia,kwa ajiri ya kuvaa kwenye shughuri zao?

Aksante sana kwa hotuba yako ila mimi nimemsaidia tu mleta hoja kuhusu vazi la kilokole kwamba halipo na dini ni moja tu ninaifahamu ina vazi rasmi la kuswali, Sikusema ni dini gani wala kwa nini wavae hivyo.
 
Suti hata kama kuna jua kali yaani utakuta mtu anasweat balaa...kavaa suti anatembea na daladala.
Sijui nani kawaambia kuwa kuokoka ni kuvaa suti hata kama sehemu/hali ya hewa hairuhusu.

Well, A gentleman has no weather. Hata ungewasha oven, tai haitoki wala suti ya 3 pcs haimuumizi
 
Back
Top Bottom