Hata haya mavazi si ya dini ya ki "Islam" yalikuwepo kabla ya hiyo dini haijafika,ni mavazi ya utamaduni wa ki Arab,dini iliyaadapt tu baadae,
Sasa mliyoipokea hiyo dini,mnafikiri u Arab ni uislam,sio kweli,wajameni,
Nimefatilia historia ya vazi lile linalofunika mwili wa mwanamke kuanzia macho,kichwa,mpaka miguu,BURQA,
Hili vazi,kwa maeneo,ya jangwani,ambako vile vile ndio Arabs wengi wanapatikana,ni sehemu isiyo na miti,au vichaka,na ina mchanga mwingi,unaotimka mara kwa mara,na wenyeji waliweka makazi yao,karibu na chanzo cha maji,sasa vazi hili,linamsaidia mwanamke kwanza akitaka kujisitiri anaenda tu pembeni,anafanya yake,bila kujidhihirisha maungo yake,na pale usoni,kitambaa mile,kina msaidia kukinga macho take,na vumbi Kali,linalopeperuka,
Hebu fikiria,watu wanaoishi,Eskimo,Graceland,au sehemu yoyote yenye baridi,mpaka joto ushuka mpaka nyuzi 0,unafikiri kwa ubunifu wao,wangebuni vazi kama kanzu na baragashia,kwa ajiri ya kuvaa kwenye shughuri zao?