Je, Mashati ya vitenge na ya kung'aa ya rangi moja ndio mavazi maalumu ya Wanaume walokole?

Je, Mashati ya vitenge na ya kung'aa ya rangi moja ndio mavazi maalumu ya Wanaume walokole?

Wee surali upana mita 6? Hyo ni suruali au dela, hata dela sio hvyo
hahaa siku izi hazipo izo wanapiga modo kama kawa na mabishoo kama akina uyu mwimbaji goodluck,masanja wakina bon mwaitege ni zilipendwa/old skul. mambo yanabadilika sana mabinti hawavai sketi za marinda tena.
 
Jibu ni hapana, sema wanapo kutana kwenye vikao vyao wanapendelea mashati ya aina hiyo sana,
 
Hivi kuna mavazi maalum ya kuwatambua watu waliokoka hasa wanaume?

Mashati kama ya vitenge au ya rangi moja kama pink, blue etc. Maana naposkia fulani kaokoka mara nyingi nikimcheki kapiga shati la kitenge au shati fulani la rangi moja lakini la kung'aa
Kuna ukweli ndani yake.
Na mashati ya mikono mirefu full purple.
 
Kwa hiyo ata dokta shika ni mlokole/mwanakwaya? Maana mapigo ake cku ya kubid kweny zle nyumba alipiga shat ake ya kwaya/lokole that why wakamuona ukweli, haya mashat kusema kweli yanaokoa jahazi
 
yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !

karibu sana
Hapo unatupia na shati rangi ya zambarau......saaafiiii....
 
Back
Top Bottom