Wee surali upana mita 6? Hyo ni suruali au dela, hata dela sio hvyoyes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !
karibu sana
Kuvaa hivo ushamba tuyes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !
karibu sana
Wee surali upana mita 6? Hyo ni suruali au dela, hata dela sio hvyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseehahha we bas huwajui !akisimama utahis kavaa sketi
hahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
Walokoke wa wapi hao mnaoongelea?yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !
karibu sana
Hizo suruali sio mchezo aiseehahah
Hata haya mavazi si ya dini ya ki "Islam" yalikuwepo kabla ya hiyo dini haijafika,ni mavazi ya utamaduni wa ki Arab,dini iliyaadapt tu baadae,Dini moja tu huwa na nguo maalum ya kuswali. Kanzu na bargashea. Nyingine sijawahi kusikia kama ipo hiyo nguo rasmi.
anazo pia mwanajamii forum mwenztu@slim5Hizo suruali sio mchezo aisee
Suti hata kama kuna jua kali yaani utakuta mtu anasweat balaa...kavaa suti anatembea na daladala.yes yapo mkuu !shati za kung'aaa !zle mterezo,rangi mara nyingi blue !na mashati ya vitenge pamoja na suruali pana sana mita6 !suruali ukivaa inakuwa kama sketi !na marinda yawe yamesimama wanaita (upanga) !suti nazo hizi hiz za mitumban!ikichafua fua tu mwenyewe achana na mambo ya kupeleka kwa wadobi !fua mwenyew ikileta ile mikunjo kunjo kwa koti swadaktaaaaaa !na kiatu fur angle blak au brown !
karibu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ugomvi huoanazo pia mwanajamii forum mwenztu@slim5
Hata haya mavazi si ya dini ya ki "Islam" yalikuwepo kabla ya hiyo dini haijafika,ni mavazi ya utamaduni wa ki Arab,dini iliyaadapt tu baadae,
Sasa mliyoipokea hiyo dini,mnafikiri u Arab ni uislam,sio kweli,wajameni,
Nimefatilia historia ya vazi lile linalofunika mwili wa mwanamke kuanzia macho,kichwa,mpaka miguu,BURQA,
Hili vazi,kwa maeneo,ya jangwani,ambako vile vile ndio Arabs wengi wanapatikana,ni sehemu isiyo na miti,au vichaka,na ina mchanga mwingi,unaotimka mara kwa mara,na wenyeji waliweka makazi yao,karibu na chanzo cha maji,sasa vazi hili,linamsaidia mwanamke kwanza akitaka kujisitiri anaenda tu pembeni,anafanya yake,bila kujidhihirisha maungo yake,na pale usoni,kitambaa mile,kina msaidia kukinga macho take,na vumbi Kali,linalopeperuka,
Hebu fikiria,watu wanaoishi,Eskimo,Graceland,au sehemu yoyote yenye baridi,mpaka joto ushuka mpaka nyuzi 0,unafikiri kwa ubunifu wao,wangebuni vazi kama kanzu na baragashia,kwa ajiri ya kuvaa kwenye shughuri zao?
haha bora haijaitag aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ugomvi huo
Suti hata kama kuna jua kali yaani utakuta mtu anasweat balaa...kavaa suti anatembea na daladala.
Sijui nani kawaambia kuwa kuokoka ni kuvaa suti hata kama sehemu/hali ya hewa hairuhusu.