Je, Mashati ya vitenge na ya kung'aa ya rangi moja ndio mavazi maalumu ya Wanaume walokole?

Suti hata kama kuna jua kali yaani utakuta mtu anasweat balaa...kavaa suti anatembea na daladala.
Sijui nani kawaambia kuwa kuokoka ni kuvaa suti hata kama sehemu/hali ya hewa hairuhusu.

haaaaaaaaaaaaaa my riobs !alafu makoti ya suti yameweka mikunjooo !haaaaaaaaaaaaaaa kiatu kina vumbiiiiiiiiiiii
 
umechanganyikiwa ww! fat'ha gan hyo km hujui historian ya din ya watu
 
[emoji1] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upo vizuri sana.....
 
Long time mama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha dah!suruali pana mita 6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nguo hazitakuingiza mbinguni kinachoangaliwa.roho yako.kama.haina mawaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…