Je, Mashati ya vitenge na ya kung'aa ya rangi moja ndio mavazi maalumu ya Wanaume walokole?

Wee surali upana mita 6? Hyo ni suruali au dela, hata dela sio hvyo
hahaa siku izi hazipo izo wanapiga modo kama kawa na mabishoo kama akina uyu mwimbaji goodluck,masanja wakina bon mwaitege ni zilipendwa/old skul. mambo yanabadilika sana mabinti hawavai sketi za marinda tena.
 
Jibu ni hapana, sema wanapo kutana kwenye vikao vyao wanapendelea mashati ya aina hiyo sana,
 
Kuna ukweli ndani yake.
Na mashati ya mikono mirefu full purple.
 
Kwa hiyo ata dokta shika ni mlokole/mwanakwaya? Maana mapigo ake cku ya kubid kweny zle nyumba alipiga shat ake ya kwaya/lokole that why wakamuona ukweli, haya mashat kusema kweli yanaokoa jahazi
 
Hapo unatupia na shati rangi ya zambarau......saaafiiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…