Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Ndio umpige mbele ya watu jamani
 
Ukiona mwanaume ameachana na mkewe wa ujana mukimbie Mita 1000 mbali kwa usalama wengi huwa na matatizo na hamna mwanamke anayependa kukimbia ndoa yake, Sasa wanawake wanaotaka ndoa huamini wataweza ishi naye kumbe ndio kutafta majanga
[emoji817]
 
Ukiona mwanaume ameachana na mkewe wa ujana mukimbie Mita 1000 mbali kwa usalama wengi huwa na matatizo na hamna mwanamke anayependa kukimbia ndoa yake, Sasa wanawake wanaotaka ndoa huamini wataweza ishi naye kumbe ndio kutafta majanga
Ukweli kwa asilimia zote
 
Sasa mke yupo ndani utajikataje kimya kimya? Utakimbia nyumbani kwako?
 
Alafu unakuta hili jibu unamjibu mumeo Kwa nn asikuwashe kerbu kidogo[emoji28]

cariha unamsikia mwenzio anavyotutusi wanaume wote wote mapunguani na tuna autism?
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni huyo kakosea ila na nyie mnapenda kupiga Mimi kwa kweli tutapigana na nitalipiza kisasi kwa kulala hata na kisu mtu anayenipiga na Kuni provoke siwezani naye kabisa
 
Unapoteza muda wako kupiga wanawake wazima.
 
Dah mkeo naye hajakua bana na utoto unamsumbua kwanini ahangaike na simu ya mumewe Sasa, maana na hyo Hali hukera kwelikweli kufatiliana ka watoto wadogo na kupangiana maisha honestly Mimi mtu wa hivo hata sijibishani naye nahama nyumba, sema wewe una mdunda isije leta shida, my Friend, classmate wangu wa bachelor huwa tunapiga sana story na kucheka na hata kushauriana, Sasa mke hataki yeye aongee na mimi au marafiki wengine wa kike Sasa najiuliza ina maana ukioa huruhusiwi kuongea hata na marafiki wengine, Sasa rafiki yangu hupiga Hadi anazimia kisa wivu, to me too much jealous naona ni ukichaa huo
 
Read btn the line,unatoka out,na ndugu na jamaa,Tena nje ya mkoa,mnafikia lodge,ghafla unashambuliwa,ndugu na jamaa wanaingilia,na kumzuia anaempiga!
Then unampigia dada yako,na unajiuliza kwa nini amefanya hivi hadharani?maana umezoea huwa anafanya hivyo mkiwa faragha!!!
Mpaka hapo lazima ni mtu wake wa karibu,mume,mchumba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…