Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.

Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko

Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct
MI mwenyewe nakurudishia mzee, japo sinaga hata hizo nguvu lakini lazima tutakunjana Man
 
You can not rationalize the action of a man hitting a woman, blood.
Unajuwa kuwa watu wanaongea utasema kweli. Hili jambo hakuna mtu wakuja kujifanya yeye mtakatifu, suala la kupiga mtu inatofautiana mtu na mtu kuna watu huwa hawana hasira na hata kama wanazo basi wanajiweza ku control na kuna watu kitu kidogo tu utasema kapigwa na bomu reaction ziko tofauti mtu na mtu hata katika hali za kawaida tu mitaani. kuna mtu kidogo tu kaanzisha ugomvi na wako watu cool hata umchokoze vipi ataondoka tu au kukaa kimya. Kuna watu kidogo mtoto kakosa kapiga wazazi wengine hawapigi watoto na asilimia kubwa wanaopiga watoto wakikosa kwa nia nzuri tu ni akina Mama, wababa sio sana kuwapiga watoto. Sasa Mama kumpiga mtoto sio kwamba Mama hampendi mtoto wanawapenda sana na hawa watoto hata wapigwe vipi na Mama zao lakini wanawapenda Mama zao na shida zao wanapeleka kwa Mama zao. Mimi siungi mkono kumpiga mke na wala siungi mkono mke kumpiga mume maana nasikiwa wako wanawake wa hivyo japo wachache. Japo kuna maudhi mtu unaweza kufanyiwa ukatamani kuuwa, imagine umemkuta mke wako ana cheat, au ana chat na mtu nje, au anapigiwa simu au anakudharau kuita maelezo mbele za watu maudhi ya aina mbali mbali unaweza uvumilivu ukakushinda ukafanya kitu halafu ukajutia. tusihukumu tu kirahisi kuna watu "Mimi siwezi kupiga mke hata anifanye nini" yes unaweza maana watu hawafanani na unaweza usimpige kofi lakini ukamtukana maumivi atakayo sikia zaidi ya kofi maana maneno yanaumiza acha yanaweza kukutoka mdomo mchafu mke asilale siku 2. Tuache kujifanya watakatifu, mimi binafsi sijanyanyuwa mkono kwa mke lakini nimeshamtolea maneno makali sana kwa maudhi yake ila muda unaomba msamaha yaishe hasira zikiisha na unampa funzo hichi kitu usifanye haya mambo yako familia zote.
 
Sijawai kupiga mwanamke na uhenda inaweza isitokee kabisa mimi kumpiga mwanamke.

Lakini wanawake wana midomo sana na wabinafsi sometimes unawaelewa wanaopiga mwanamke.

Mimi demu akizingua na makelele yake au mawivu najikataa kimya kimya atashangaa tu eeeh hivi kumbe mapenzi yashaisha.... ikitokea kwa mke sijui itakuwaje wanawake punguzeni midomo [emoji23][emoji23][emoji23]

Entertainment itatoka wapi tukipunguza midomo? Mtakuwa bored
 
Ukiona mwanaume ameachana na mkewe wa ujana mukimbie Mita 1000 mbali kwa usalama wengi huwa na matatizo na hamna mwanamke anayependa kukimbia ndoa yake, Sasa wanawake wanaotaka ndoa huamini wataweza ishi naye kumbe ndio kutafta majanga
 
Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.

Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko

Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct
Mkuu una tatizo la depression kubwa sasa mbona sijaona huo ubaya wa message yake siungemjibu ndio nimetoka kwa mchepuko unatakaje.
Ila acha kumpiga piga ipo siku utaumia ukaishia kujuta
 
MI mwenyewe nakurudishia mzee, japo sinaga hata hizo nguvu lakini lazima tutakunjana Man

[emoji3][emoji3] umenikumbushan, nilikuwaga najiambia na mdomo wangu huu nikiona nakaribia kupigwa nitakuwa naondoka eneo la tukio, siku 1 mpuuzi mmoja akajaribu kunisukuma ananitishia kunipiga, kwanza nikampa warning usiniguse! Akanifanya maneno ya kero yaendelee kumwagika mara mbili ya mwanzo,..heee akanifata kunisukuma tena, sijui nguvu zilitoka wapi nilimnasa kibao cha usoni straight kwenye macho akaona giza nikakimbia. Maana kama si kuona giza ningevunjwa miguu.
 
Kuna muda mwanamke ndani anakuchokonoa Hadi unakosa plan b ya kumuepuka,unajikuta kibao kimeshakutoka

Mwanzo nilikuwa nalaumu sn mwanaume anayepiga mkewe ndani,Ila kuna siku nilijibiwa jibu la kishenzi sikuwa na namna ikanitoka kerbu
Sentensi moja tu "tuishi nao kwa akili" ukielewa na kuiishi hii sentensi hutokaa umpige mtoto wa mtu!
 
Mkuu una tatizo la depression kubwa sasa mbona sijaona huo ubaya wa message yake siungemjibu ndio nimetoka kwa mchepuko unatakaje.
Ila acha kumpiga piga ipo siku utaumia ukaishia kujuta
Niombe radhi hapo kwenye depression cariha 😁

tatizo ana wivu sn Hadi amepitiliza..Huyu mwanamke wa kunitumia meseji naona umeshapata hela basi utaangaika Na hao Malaya zako Hadi iishe ndy utatulia nyumbani wakati sina mchepuko hata mmoja..cariha Hadi hapa unamtetea Tu?.Kwa nn asiniulize kistaarabu upo wapi nami ningemjibu tu
 
[emoji3][emoji3] umenikumbushan, nilikuwaga najiambia na mdomo wangu huu nikiona nakaribia kupigwa nitakuwa naondoka eneo la tukio, siku 1 mpuuzi mmoja akajaribu kunisukuma ananitishia kunipiga, kwanza nikampa warning usiniguse! Akanifanya maneno ya kero yaendelee kumwagika mara mbili ya mwanzo,..heee akanifata kunisukuma tena, sijui nguvu zilitoka wapi nilimnasa kibao cha usoni straight kwenye macho akaona giza nikakimbia. Maana kama si kuona giza ningevunjwa miguu.
Nawapenda wanawake wakorofi Kama wewe ili tunyooshane viungo mara mojamoja 😅.Kuna wanawake wanapenda kupigwa wanafikiri ndy mapenzi,mfano wema sepetu kawahi kukiri anapenda kupigwa na mwanaume
 
Back
Top Bottom