Aisee kazi tunayo jamani.Sasa kazi na utu ndio hawana nyege π π
Miye ndiyo basi nimeshaingia kwenye pingu za maisha uuuwiiii
Pole yetu mahiπAisee kazi tunayo jamani.
Na sexual harassment inakuja pale unapolazimisha mambo wakati part B hayuko interested. Kama mimi nakuvutia na wewe unanivutia harassment inatoka wapi? Hayo ni mapenzi
Na comment yangu ukai-dislike π₯² ShesRise_1Pole yetu mahiπ
Mkuu ni serious sanaShesRise_1
Tafadhali Ni DM
π€£ππMkuu ni serious sana
hatuwezi kuongea hapa?
MashaAllahNa sexual harassment inakuja pale unapolazimisha mambo wakati part B hayuko interested. Kama mimi nakuvutia na wewe unanivutia harassment inatoka wapi? Hayo ni mapenzi
πππ Mtu hawezi kunikula kijinga labda nitake kuliwa. Nitakufa mimi au yeyeUtasemaje umebakwa dada mtu mzima π unaweza kukanwa Hadi na daktari. Ukibananishwa akifanikiwa unatoka mkavu kama sio wewe π π π .
Ni kuonesha kama sijaipendaNa comment yangu ukai-dislike π₯² ShesRise_1
Hii Hatari Sana Langoniπππ Mtu hawezi kunikula kijinga labda nitake kuliwa. Nitakufa mimi au yeye
Ooh basi niambie kaka nakusilizaπ€£ππ
Siyo Serious
π π ππππ Mtu hawezi kunikula kijinga labda nitake kuliwa. Nitakufa mimi au yeye
Hatari iko wapiπHii Hatari Sana Langoni
Unajidai unataka kuimba na mike unaing'ata shenziiiπππ Mtu hawezi kunikula kijinga labda nitake kuliwa. Nitakufa mimi au yeye
Sasa mfano kama unatongozwa tu na wanaume ambao huwataki, wanaume unaowataka hawakutongozi unafanyaje Khantweπππ Mtu hawezi kunikula kijinga labda nitake kuliwa. Nitakufa mimi au yeye
Unajua Sasa Hivi Kuna Ile Baridi Yabisi Maeneo Mengi Ya Nchi Miezi Ya Tisa Watu Wavaa πππHatari iko wapiπ
Mimi kupeleka mdomo wangu huko bado privilege ambayo hawezi kuipata ππUnajidai unataka kuimba na mike unaing'ata shenziii
Sema Wallah bibi π πMimi kupeleka mdomo wangu huko bado privilege ambayo hawezi kuipata ππ