proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Poor Brain dronedrake Mbaga Jr hawa vijana wakipata fursa kama hii watashukuru sanaMi pia nisha wahi kukutana na hali hiyo kwenye taasisi fulani, ila kwa sasa rushwa ya ngono sio wanawake tuu kuwapa wanaume kuna baadhi ya wanawake wenye nafasi mbalimbali huwa fanyia hivyo wanaume, wanao hitaji either ajira.