Je, mateso ya Polisi yanaweza kuwa makubwa (excessive) kuliko mafunzo ya Makomando wa Jeshi letu?


Ni kweli kuwa mafunzo ya ukomando sio mchezo ndio maana wapo mahakamani wangekuwa wa kawaida,kama wewe, wangekuwa hospitali ,mochuari au wameshazikwa kwa mateso.
Pili uelewe kuwa uchunguzi wa police sio vita na hawakustahili kuteswa wakati wa kuhojiwa/kuchunguzwa.
 
Kwanini tunafanya mafunzo?
 
Huwezi kupima ubora wangu kwa kumuwahi na kumfunga, kisha uanze kumtesa.
 
Mkuu nyuzi zako zimeongozana sana....

Inaonekana huenda wewe ni miongoni mwa wale Police waliowatesa watuhumiwa
 
HaO wanataka huruma ya mahakama wamelishwa maneno ya kujitetea lakini ukweli walishauaema wote
 
Mkuu nyuzi zako zimeongozana sana....

Inaonekana huenda wewe ni miongoni mwa wale Police waliowatesa watuhumiwa
Mkuu- nimepata mda wa kutafakari sana kuhusu jambo hili ambalo si jema sana kwa nchi yetu: limetugawa na kutuchafua yote hayo kukidhi tamaa za watu ambao hawana nia njema na watu
 
Mateso nayo yanadegree zake kila binadamu ana point akifika lazima alegee.....hapo itategemea na uhimili wako ww mleta uzi kofi moja tu unasema kila kitu akati wengine mpaka mbupu Ibanwe nk
 
Komando hatakiwi kutoa siri kama kuawawa auwawe tu ndiyo wanavyofundishwa achana na hao watumia madawa ya kulevya! Kwa hiyo ingekuwa wako vitani wanaweza kuiuza kombania nzima kwa adui!!?
Pale ni mahakamani sio vitani. Kwahiyo unataka kusema kwamba wanatakiwa kuficha kwamba hawakuteswa ili waonekane ni makomandoo sio?

Poor you...kumbuka polisi wenyewe walikuwa zaidi ya watatu kwa mtu mmoja tena kwa kumfunga pingu,kitambaa na mengineyo ili mradi tu asije akajinasua akawaua wote within a minute.

Polisi wanawaogopa mno wanajeshi wa kawaida tu sembuse makomandoo?
 
Komando hatakiwi kutoa siri kama kuawawa auwawe tu ndiyo wanavyofundishwa achana na hao watumia madawa ya kulevya! Kwa hiyo ingekuwa wako vitani wanaweza kuiuza kombania nzima kwa adui!!?
Tunashuhudia mara kadhaa polisi wanavyochezea kipigo kwa hawa vijana wadogo na wapya kabisa kutoka Jw. Kuna siku pale Tazara askari polisi kama wanne walikuwa pale wengine wanaongoza magari wengine walikaa kwenye kibanda chao sasa wakawa wanaruhusu magari upande mmoja kwa muda mrefu kumbe upade wa buguruni palikuwa na gari la jw aise walishuka askari watatu wakaenda hadi tazara walitembeza kipigo kikali then askari wa jw wakawa wanaita magari wao lilipofika gari lao wakadandia hao mwendo.
 
Haya mateso wanayasema wakiwa uwanja wa vita kwa adui ama mahakamani sehemu ya haki? Mahakamani lazima useme kila kitu kiwe wazi ili hukumu ya haki itoke. Unaonekana upo mbali mno na legal issues.
 
Polisi watatu hadi wanne wanaenda kumkamata kuruta mmoja wa jeshi.
 
Akili zako ni kiduuuchu IQ below 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…