Je, mateso ya Polisi yanaweza kuwa makubwa (excessive) kuliko mafunzo ya Makomando wa Jeshi letu?

Je, mateso ya Polisi yanaweza kuwa makubwa (excessive) kuliko mafunzo ya Makomando wa Jeshi letu?

Comte ni chizi kweli ukishashikwa na polisi inakua sio polisi nidola hivyo unatulia unawasikiliza swla la mateso ni unateswa wapi kwani hauwi kwenye mapigano kinachotakiwa na kustahimili hayo mateso ......inakuonyesha unaishi bado kwamama ako na baba ako
hahahahahahahhh- mateso yatia mzuka hahahahahah
 
Isije kuwa wewe ndiye badluck, unakuja kupima upepo hapa, tofautisha mafunzo na mateso ya kipangiliwa. Mafunzo yanataratibu zake
.
Na ndio maana mchizi yule sijui ling'w ama adamooo aliruka kichura chura kupunguza maumivu afterwards wakati mwili ukiwa mbichi na maumivu, angekua mtoa maada kwa kile kipondo na teso walichopitia hata mahakamani asingefika

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Argument ya kijinga
Sidhani kama uko sahihi sana nadhani your myopic
In evaluating whether or not a confession was made voluntarily, federal courts consider the “totality of the circumstances” surrounding the interrogation, including the age, intelligence and education level of the accused; the length of the detention and interrogation; and the use of physical punishments such as the deprivation of food or sleep. Federal courts have repeatedly excluded statements made following the use of various interrogation methods:
• solitary confinement or isolation,
• sleep deprivation,
• threats of death and physical harm• beatings, and
• nudity.
Notably, some statements procured through the use of these very same techniques may be admissible under the MCA
 
Unaamini story za Vijiweni za Commando 1 sawa na Askari 100!?

Conando naye ni Binadamu, anasikia Maumivu Kama wewe, japo anaweza tu kuvumilia!
 
Mafunzo siyo Mateso , halafu ulichokuwa hujui ni hiki , hawa walitakiwa kuuawa siyo kuteswa , ni bahati mbaya tu kwamba hawakufa
Mafunzo yanakuandaa kukutana na mazingira tofauti tofauti. Y ao wanayosema ni mateso kutoka kwa polisi hayalingani na ambayo wangepata wangetekwa na adui- kumbe Adamoo angeuza nchi
 
Unaamini story za Vijiweni za Commando 1 sawa na Askari 100!?

Conando naye ni Binadamu, anasikia Maumivu Kama wewe, japo anaweza tu kuvumilia!
japo anaweza tu kuvumilia
sasa adamoo alishindwa kuvumilia au anatafuta huruma ya mahakama?
 
Adamoo alipitia haya na akafaulu

Special Forces Selection is the toughest testing platform in the Military – a twelve-month process that 85 percent of candidates fail. It’s designed to break you.

There are only three options on selection: You quit, you get injured, or you outlast. The human body is built for survival and will adapt to better handle cold, heat, stress, pain and just about anything you can throw at it.

Special Forces training is designed to test you physically, mentally and emotionally to build your mental strength. Personally, when it comes to mental strength, I believe you need to increase your body’s ability to withstand pain and getting comfortable being uncomfortable.

Kuna mmoja kati ya hawa makomandoo waliokamatwa amepotezwa,na hawasemi wamemfanya nini ni nani huyo?
 
Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo.

Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa machoni na kutishwa na bastola iliyoko kiunoni mwa polisi mpaka wakasema wasiyopaswa kusema.

Kama polisi wanawagwaya askari jeshi wa kawaida hawa makomandoo kulikoni?
Wale siyo makomando ni walevi wa madawa ya kulevya walifukuzwa jeshini kwa hiyo ni Unfit. Msituzalilize sisi makomando wa kweli jamani.
 
Mateso yana vary lakin hakuna mahali wame state mateso fulani ndio yatumike na mengine yasitumike. Vyombo husika vina green light kutumia kila amount ya mateso makali kuliko ili wakufanye uongee. Haijalishi una mafunzo ama lah.

Ukomando haukufanyi kiwa immune to pain,mateso. Remember wale bado ni binadami, na kila binadam ana breaking point.
Komando hatakiwi kutoa siri kama kuawawa auwawe tu ndiyo wanavyofundishwa achana na hao watumia madawa ya kulevya! Kwa hiyo ingekuwa wako vitani wanaweza kuiuza kombania nzima kwa adui!!?
 
Mleta mada kwa upande wangu we ni KIAZI. elimu yako niya vyeti tu.
Na umri wako wote huo unaleta mada kama hii, harafu ujiite greatthinker !.

Mafunzo n'a mateso unaona kama jambo moja !?.
WE NIMBURULA.
povu ruksa, maana sijakukopesha.
Siku nyingine utumie akili.

Nyie ndo mmeifikisha hali hii hapa.
Kama hujui kutofautisha MATESO NA MAFUNZO hivyo hunatofauti na Maiti.
 
Mleta mada kwa upande wangu we ni KIAZI. elimu yako niya vyeti tu.
Na umri wako wote huo unaleta mada kama hii, harafu ujiite greatthinker !.

Mafunzo n'a mateso unaona kama jambo moja !?.
WE NIMBURULA.
povu ruksa, maana sijakukopesha.
Siku nyingine utumie akili.

Nyie ndo mmeifikisha hali hii hapa.
Kama hujui kutofautisha MATESO NA MAFUNZO hivyo hunatofauti na Maiti.
Special Forces training is designed to test you physically, mentally and emotionally to build your mental strength. Personally, when it comes to mental strength, I believe you need to increase your body’s ability to withstand pain and getting comfortable being uncomfortable.

sasa walipata mafunzo wakayatumie wapi? Hayo yanayosemekana ni mateso ya polisi ndiyo mazingira muafaka kwa kukabili kutokana na mafunzo yao.
Sasa Mbowe alikuwa anawatafuta wa nini kama ni walaini kiasi hicho. LAZIMA KULIKUWA NA KITU NA KITU HICHO SI KINGINE ISIPOKUWA NJAMA ZA UGAIDI
 
Komando hatakiwi kutoa siri kama kuawawa auwawe tu ndiyo wanavyofundishwa achana na hao watumia madawa ya kulevya! Kwa hiyo ingekuwa wako vitani wanaweza kuiuza kombania nzima kwa adui!!?
Sorry sihitaji kujua wanatumia madawa au lah.
Mwili wa binadamu una limit .. una breaking point. Yes kuna code of conducts kwamba bora waondoke kuliko kutoa siri. But hii si vita? Vita ni tofauti na hili tukio.
Down to right lazima ujue ukomando ni cozi kama cozi zingine lakin haikufanyi kuwa invisible, unafundishwa skills mbali mbali but sio unakuwa immune to death. Kuna breaking point
 
Special Forces training is designed to test you physically, mentally and emotionally to build your mental strength. Personally, when it comes to mental strength, I believe you need to increase your body’s ability to withstand pain and getting comfortable being uncomfortable.

sasa walipata mafunzo wakayatumie wapi? Hayo yanayosemekana ni mateso ya polisi ndiyo mazingira muafaka kwa kukabili kutokana na mafunzo yao.
Sasa Mbowe alikuwa anawatafuta wa nini kama ni walaini kiasi hicho. LAZIMA KULIKUWA NA KITU NA KITU HICHO SI KINGINE ISIPOKUWA NJAMA ZA UGAIDI
Una reasoning ya kitoto kabisa.
Hayo mafunzo wanayatumia vitan, wakiwa kwenye kazi zao. Ww naona ume copy ujumbe huko google about special forces, lakin huelewi true nature ya operation zao.

Kwanza unatakiwa uelewe ukomando ni cozi tu. Lakini imekuwa structured katika mtaala maalumu kumjengea uwezo askari ku acquire skills maalum za kutumia kwenye medani za kivita. Narudia tena ni kozi yenye mtaala maalumu.

Mateso yana mtaala? Yana structured training? Yana programmed steps? Nope

Hawa jamaa walishatumikia hii unit. Lakin wakawa discharged kurudi uraiani. They were no longer in the army. So hawana priviledges za jeshi tena.

Unadai walaini? Unajua kilichowatoa jeshini kwanza?
Unadai walaini? Umesha shirik cozi yoyote ya ukomando before ?
 
Komando hatakiwi kutoa siri kama kuawawa auwawe tu ndiyo wanavyofundishwa achana na hao watumia madawa ya kulevya! Kwa hiyo ingekuwa wako vitani wanaweza kuiuza kombania nzima kwa adui!!?
Siri gani upumbavu ?!. Siri zipo za kulindwa si ubambikaji [emoji107]
 
japo anaweza tu kuvumilia
sasa adamoo alishindwa kuvumilia au anatafuta huruma ya mahakama?
Kuvumilia kuna limitation? Unaweza vumilia mfupa kusagwa bila ganzi wewe? Unaweza vumilia kukatwa kiungo cha mwili.. nazungumzia kitenganishwe huku ukiwa macho?

Mwili wa mwidam una limitation. Kuna vitu vya kivumilika. Na vingine mwili hauwezi kubeba.
 
Special Forces Selection is the toughest testing platform in the Military – a twelve-month process that 85 percent of candidates fail. It’s designed to break you.

There are only three options on selection: You quit, you get injured, or you outlast. The human body is built for survival and will adapt to better handle cold, heat, stress, pain and just about anything you can throw at it.

Special Forces training is designed to test you physically, mentally and emotionally to build your mental strength. Personally, when it comes to mental strength, I believe you need to increase your body’s ability to withstand pain and getting comfortable being uncomfortable.
Ulitakaje kwa mfano?!
 
Back
Top Bottom