Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,676
- 3,046
Huku nilipo hao wenzio wanapigwa na polisi hadi kuvunjwa miguu.Kisa mnaleteana ubabe mtaani kwamba yupi mbabe.Mna mambo ya kitoto mapot.Tunashuhudia mara kadhaa polisi wanavyochezea kipigo kwa hawa vijana wadogo na wapya kabisa kutoka Jw. Kuna siku pale Tazara askari polisi kama wanne walikuwa pale wengine wanaongoza magari wengine walikaa kwenye kibanda chao sasa wakawa wanaruhusu magari upande mmoja kwa muda mrefu kumbe upade wa buguruni palikuwa na gari la jw aise walishuka askari watatu wakaenda hadi tazara walitembeza kipigo kikali then askari wa jw wakawa wanaita magari wao lilipofika gari lao wakadandia hao mwendo.