Je, mawaziri Jaffo na Aweso wataendelea na mikwara ile ile ya kutumbua na kufokea watendaji hadi wanazimia?

Shida kubwa mzee alishindwa kuwashape vijana kwamba ukiwa kiongozi unapswa uweje.Mawaziri walikuwa Kama wahuni tu wa mtaani Kama kina aweso na mwigulu wanalopoka tu lolote
 
Shida kubwa mzee alishindwa kuwashape vijana kwamba ukiwa kiongozi unapswa uweje.Mawaziri walikuwa Kama wahuni tu wa mtaani Kama kina aweso na mwigulu wanalopoka tu lolote
Hapo nakubaliana na wewe kwa Kiasi, Ninacho msifu alitoa room sana huyu mzee based on perfomance shida ya Vijana sasa tukipewa madaraka ni shida zamani kulikuwa na training nguroduto kule Arusha mtu akishakuwa Appointed anaenda kupikwa kule ni sahihi tumeshuhudia vijana wajaa viburi kama Makonda, Sabaya, Kheri James na Jokate
 
Sio kwamba kujipendekeza ndio connection yenyewe
 
Hapana, lazima wafuate maagizo na matakwa ya Rais aliyepo madarakani...
 
Binafsi huwa sioni utendaji kazi wa jaffo zaidi ya kuzurura tu na kusifia,uhamisho wa watumishi tu umemshinda.Yule mwingine aweso ni mtu wa jazba mno.Kiufupi wote hawafai.
 
Inzile ni hatari sana. Shughuli yao ni kama siafu wamewakong'ota Mafikizolo mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…