Je, maziwa ya unga yanasababisha kupungukiwa nguvu za kiume?

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Wanajamii habari

Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe.

Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha upotevu wa nguvu za kiume na kufanya mwanaume awe na hisia za kike.

Je, mimi nimejuaje hizi habari, ipo hivi baada ya wiki mbili kila siku kunywa chai ya maziwa, juzi nilishtushwa baada ya kushindwa kupiga mechi kama yalivyo maxoea yangu. Hivyo ikanibidi nifanye uchunguzi wa haraka sana kubaini tatizo. Baada ya kupitia tafiti mbalimbali za kisayansi nimedhibitishiwa kwamba maziwa yanaleta umama na kupunguza kuvu za kiume.

Nitaendelea...

Mwisho

Baada ya wiki nzima kuachana na maziwa, hatimaye nimepiga show kubwa sana jmosi na jpili
 
Ati yanaleta umama[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Mkuu tafuta fedha, all it's on your head!maziwa hayana uhusiano wowote na hicho unachokidai, kula vema,fanya mazoezi, na usiendekeze sex mno
 
  • Thanks
Reactions: THT
😂😂eti umama loh!!
Porojo
 
Leta Facts ulizotumia mpaka kuhitimisha kwamba ni maziwa ndio yamekupunguzia nguvu na si sababu nyingine
 
Wanajamii habari

Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe.

Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha upotevu wa nguvu za kiume na kufanya mwanaume awe na hisia za kike.

Je, mimi nimejuaje hizi habari, ipo hivi baada ya wiki mbili kila siku kunywa chai ya maziwa, juzi nilishtushwa baada ya kushindwa kupiga mechi kama yalivyo maxoea yangu. Hivyo ikanibidi nifanye uchunguzi wa haraka sana kubaini tatizo. Baada ya kupitia tafiti mbalimbali za kisayansi nimedhibitishiwa kwamba maziwa yanaleta umama na kupunguza kuvu za kiume.

Nitaendelea...
....Ni Wewe Mwenyewe, Sio Wote!...
 
Naendelea

* USHAHIDI WA UTAFITI*

Kitu kilichothibitika ni kwamba haya maziwa ni source kubwa sana ya homoni ya Oestrogen katika mlo ambao tunakula, na hii ni homoni ya kike. Sasa endapo mwanaume atakuwa nayo katika systeam yake kwa kiwango kikubwa inatabia ya kupelekea yafuatayo:-
-kushusha uzalishaji wa homoni ya kiume Testosterone.
- kukufanya uwe na tabia za kike ( sauti nyororo, ngozi nyororo, tako, kutokuwa na misuli)
- kukufanya kushindwa KUSIMAMISHA.
tafiti zilizothibitisha hayo maswaibu ni kama ile iliyofanywa na Maruyama et al wa mwaka 2010. Ilithibitisha hili jambo, kwamba maziwa hupelekea upungufu wa homoni ya Testosterone hivyo kuathiri ukuaji wa pumbu na uzalishaji wa mbegu za kiume. Pia tafiti nyingine ilifanyika huko nchini Japani kwa vijana wa kiume kabla ya balehe uligundua vijana waliokuwa wanakunywa maziwa na bithaa nyingine za maziwa walikuwa wana kiasi cha homoni Oestrogen na hivyo kulipelekea kuchelewa kubalehe. Sasa kubwa kuliko ni study iliyofanywa na ifeche et al mwaka 2013 na matokeo yake yakathibitishwa tena na schisterman et al mwaka 2014 kwamba kwa watoto wa kiume kushindia maziwa kulipeleka ukubwani kuwa na low sprem count na low libido level.

Kutokana na tafiti hizo kwa wazazi muanze kuchukua hatua mara moja. Pia tutumie wakati huu wanaume wote Tanzania kuacha kufanya chochote na tukae kimya kuwaombea watoto wote wa kiume wanaonyweshwa maziwa na kulelewa na Single mother, maana hii kwa kitalamu inaitwa double impact, by nature and nurture force hawa wana kutoboa ni ngumu sana.
 
Kunywa maziwa ya kopo mfululizo wiki mbili u mwezi mzima afu uje useme umeona nin
...Sio Wiki Mbili TU, ninayanywa Toka nilipozaliwa...na Mpaka Leo, Miaka 63 baadae, Bado Niko Fit!
 
We ni anomaly, it cant be, uje tukufanyie utafiti, unaweza ukoa wengi sana
 
Wanajamii habari

Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe.

Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha upotevu wa nguvu za kiume na kufanya mwanaume awe na hisia za kike.

Je, mimi nimejuaje hizi habari, ipo hivi baada ya wiki mbili kila siku kunywa chai ya maziwa, juzi nilishtushwa baada ya kushindwa kupiga mechi kama yalivyo maxoea yangu. Hivyo ikanibidi nifanye uchunguzi wa haraka sana kubaini tatizo. Baada ya kupitia tafiti mbalimbali za kisayansi nimedhibitishiwa kwamba maziwa yanaleta umama na kupunguza kuvu za kiume.

Nitaendelea...

Mwisho

Baada ya wiki nzima kuachana na maziwa, hatimaye nimepiga show kubwa sana jmosi na jpili
Naenda kutanunua sasa . Siendi tena kufunga. Kumbe rahisi hivi
 
Back
Top Bottom