Je, Mbarikiwa Mwakipesile ndiye mwimbaji bora wa nyimbo za injili Afrika na duniani kwa sasa?

Je, Mbarikiwa Mwakipesile ndiye mwimbaji bora wa nyimbo za injili Afrika na duniani kwa sasa?

Huyo alishachanganyikiwa tayari.
Katika huduma kuu 5 na karama kuu 9 hakuna huduma ama karama ya kukosoa wengine.
Huyu kaacha huduma zote na karama zote kajichagulia kazi ya kutazama nini kinàtrend mitandaoni ili aanze kukosoa
 
Huyu mnayemiuita Mbarikiwa Mwakipesile ni mental case. Wala hajui anataka nini katika harakati zake
Hujui usemalo...uko nje ya uhalisia wako,...siyo wewe,.ninaamini ata Mungu huamini kama yupo,..kwa ufupi hujitambui na ukibishi jitambulishe
 
Mie acha niendelee kusaidia yatima, wagonjwa na wasio jiweza aiseee.....
Hayo megine nawaachia waja, mie napambana na jagina plas makebo...🙊
20260628_142220.jpg
 
Hujui usemalo...uko nje ya uhalisia wako,...siyo wewe,.ninaamini ata Mungu huamini kama yupo,..kwa ufupi hujitambui na ukibishi jitambulishe
Takataka tu hiyo bana!! Na Isyesye pamekuwa mahali pazuri pa kuishi baada ya huyo bazazi kukimbilia sijui Malawi au Zambia.

Jitu gani kutwa kuzushia watu kuwa wameua mtoto wake!! Mara wameua mtoto wake wa hiari mara wameua mama yake!! Kwa kitu gani hasa Serikali iue ndugu wa huyo chizi??
 
Huyo alishachanganyikiwa tayari.
Katika huduma kuu 5 na karama kuu 9 hakuna huduma ama karama ya kukosoa wengine.
Huyu kaacha huduma zote na karama zote kajichagulia kazi ya kutazama nini kinàtrend mitandaoni ili aanze kukosoa
YESU aliyewakosoa waandishi na mafarisayo alikuwa na huduma na karama ipi?

Yohana mbatizaji aliyemkosoa Herode kwa kumuoa mke wa nduguye alikuwa na karama na huduma ipi?

ELiya, Paulo,Stefano na wengine unaosikia habari zao wakikosoa wafalme walikuwa na karama ipi?

Mwisho.
Wewe unatumia karama na huduma upi kumkosoa? SIKILIZA wewe...Kila karama na huduma ipo kutukosoa Ili turekebike maana biblia inasema zipo kuwakamilisha watakatifu.Lakini naamini nakujibu wakati unayemjua vizuri ni shetani na siyo Mungu huenda usinielewe
 
Back
Top Bottom