Je, Mbarikiwa Mwakipesile ndiye mwimbaji bora wa nyimbo za injili Afrika na duniani kwa sasa?

Yule jamaa alikuwa vizuri kwenye kuimba tenzi ila badae akawa haieleweki
Wewe ndiye uliacha kuelewa.Alafu kama tu biblia baadhi wanadai haieleweki,ibachanganya,..YESU Naye waliona haeleweki Mbarikiwa ndiye mutamuelewa?

Nyie ni wale wa kutaka muambiwe toa ubarikiwe lakini mukitukana watu msiambiwe au msikosokewe mukiibia serikali.Kwaufupi bila mtazamo sahihi huwezi kumuelewa yeyote mwenye mtazamo sahihi
 
Huyu ni mtu MHIMU sana Mbarikiwa Mwakipesile kwasababu watu wanahaha kujua Yuko wapi, yes..wanabashiri aliko huku anaendesha ibada mtandaoni na kuchunga KANISA bila shida
Ibada mtandaoni ni utapeli mwingine. Maadam wajinga wa kumsikiliza mpo basi endeleeni
 
Wewe ndiye uliacha kuelewa.Alafu kama tu biblia baadhi wanadai haieleweki,ibachanganya,..YESU Naye waliona haeleweki Mbarikiwa ndiye mutamuelewa?

Nyie ni wale wa kutaka muambiwe toa ubarikiwe lakini mukitukana watu msiambiwe au msikosokewe mukiibia serikali.Kwaufupi bila mtazamo sahihi huwezi kumuelewa yeyote mwenye mtazamo sahihi
Kukosoa kusiko na logic ni mental illness. By the way msalimie sana shemeji yangu Mbarikiwa, nimezikumbuka sana mbwembwe zake
 
Ibada mtandaoni ni utapeli mwingine. Maadam wajinga wa kumsikiliza mpo basi endeleeni
Wewe mbona unamsikiliza sana? Maana usingekuwa unamsikiliza usingejaribu kumsema unayomsema.

Kwaufupi unamchukia na kutukana kwasababu mahubiri yake yanapinga miongoni mwa tabia mbaya ulizonazo au walizonazo wa karibu Yako.Mahubiri yake hayapendwi na matapeli,wazinzi,wanaobeti,watukanaji nk...sijui wewe uko upande gani miongoni mwao
 
Yes there is. Kama wewe ni atheist useme tu maana hao hudhani Imani ni kuona wakati ukishataka kuona tu hiyo siyo Imani Tena.Kwani kuhusu uumbaji katika biblia huoni tangible thing? Kuhusu kifo huoni watu wakifa? Kuhusu kukatazwa uongo, uzinzi nk Ili tusipate Madhara huoni Madhara yakitokea....? Kwaufupi sioni sababu ya kukujibu Tena 😊
Swala la Mtu kufa is a fact sio Imani tena
 
Wewe mbona unamsikiliza sana? Maana usingekuwa unamsikiliza usingejaribu kumsema unayomsema.

Kwaufupi unamchukia na kutukana kwasababu mahubiri yake yanapinga miongoni mwa tabia mbaya ulizonazo au walizonazo wa karibu Yako.Mahubiri yake hayapendwi na matapeli,wazinzi,wanaobeti,watukanaji nk...sijui wewe uko upande gani miongoni mwao
Huyo ni mgonjwa wa akili tu ndiyo maana hajui anataka nini.
 
Back
Top Bottom