Je, Mbarikiwa Mwakipesile ndiye mwimbaji bora wa nyimbo za injili Afrika na duniani kwa sasa?

Kama unaweza kumtetea chizi Mbarikiwa basi wewe ni MSUKULE. Misukule hulishwa unga na wale wanaowafuga
Mbarikiwa ameimba nyimbo zinasikika Kila mahala, Mbarikiwa anajulikana kwa uchungaji wake na mengine unayoyaona uchizi..ebu tuandikie list ya utimamu wako Ili tuone kama uliyeandika hapa ni mtu au ni mbweha au Uzi umejiandika
 
Ninalipa kodi kutoka kwenye mapato ya kazi zangu kama wajibu wa raia mwema.
Kazi gani labda kubeti na kutukana wanaopinga mabaya au hujui kuwa ata wauza baa,vibaka nao wanalipa Kodi ingawa hawatambulishi kazi zao.ebu kuwa wazi tuone kama munaweza kuwa sawa na Mbarikiwa
 
Takataka tu hiyo bana!! Na Isyesye pamekuwa mahali pazuri pa kuishi baada ya huyo bazazi kukimbilia sijui Malawi au Zambia.

Jitu gani kutwa kuzushia watu kuwa wameua mtoto wake!! Mara wameua mtoto wake wa hiari mara wameua mama yake!! Kwa kitu gani hasa Serikali iue ndugu wa huyo chizi??
Hongera kwa kazi hiyo ya kumpinga mtu bila sababu lakini mhukumu wa haki YESU anakuja
 
Mbarikiwa ameimba nyimbo zinasikika Kila mahala, Mbarikiwa anajulikana kwa uchungaji wake na mengine unayoyaona uchizi..ebu tuandikie list ya utimamu wako Ili tuone kama uliyeandika hapa ni mtu au ni mbweha au Uzi umejiandika
Utatumia nguvu nyingi kuitetea takataka yako lakini tambua ile ni mental case inastahili kuwa Mirembe Mental Health Hospital. Hata McKenzie wa Shakahola Kenya wafuasi wake ulikuwa huwezi kuwaambia kitu.

Nyie ni mijitu mipumbavu kabisa mnaomtetea huyo mgonjwa wa akili
 
Kazi gani labda kubeti na kutukana wanaopinga mabaya au hujui kuwa ata wauza baa,vibaka nao wanalipa Kodi ingawa hawatambulishi kazi zao.ebu kuwa wazi tuone kama munaweza kuwa sawa na Mbarikiwa
Mbarikiwa kabarikiwa nani huyo?.Jitu limejaa laana mnaliita mbarikiwa!! Pumbavu sana
 
Uku chini ya jangwa la sahara akuna mtu alie balikiwa wote sisi ni hohe hahe tunawasubiri watu toka asia,ulaya na amerka waje watugawie baraka zao na watuoneshe neema tulizo nazo
 
Takataka tu hiyo bana!! Na Isyesye pamekuwa mahali pazuri pa kuishi baada ya huyo bazazi kukimbilia sijui Malawi au Zambia.

Jitu gani kutwa kuzushia watu kuwa wameua mtoto wake!! Mara wameua mtoto wake wa hiari mara wameua mama yake!! Kwa kitu gani hasa Serikali iue ndugu wa huyo chizi??
Kwani hayupo tena kule?
 
Uku chini ya jangwa la sahara akuna mtu alie balikiwa wote sisi ni hohe hahe tunawasubiri watu toka asia,ulaya na amerka waje watugawie baraka zao na watuoneshe neema tulizo nazo
Hujui maana ya kubarikiwa labuda.Naandika ivi nikiamini unafikiri kubarikiwa ni kuwa na mali nyingi tu
 
Hajengi kitu chochote Acha kujidanganya, tangu umeijua? Ukiachana na bla bla is there any tangible things?
Yes there is. Kama wewe ni atheist useme tu maana hao hudhani Imani ni kuona wakati ukishataka kuona tu hiyo siyo Imani Tena.Kwani kuhusu uumbaji katika biblia huoni tangible thing? Kuhusu kifo huoni watu wakifa? Kuhusu kukatazwa uongo, uzinzi nk Ili tusipate Madhara huoni Madhara yakitokea....? Kwaufupi sioni sababu ya kukujibu Tena 😊
 
Back
Top Bottom