Alitambulishwaje wakati wa ufunguzi wa shughuli?Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
ChatoHivi Kalemani ni Mbunge wa wapi?
PM hawezi kwenda bila hata kusindikizwa na mbunge.By the way mkeka uko tayari,bado tuu kuutoa hadharaniNaona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Ametambulishwaje?Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Katibu Mkuu wa hiyo wizara naye ni mstaafu?Emotional sio nzuri muwe mnasikiliza hotuba vizuri, Mimi nilimsikia waziri mkuu akimtaj kalemani Kama waziri wa nishati mstaafu
Msifadhaike mioyoni mwenu, jifanyieni kazi zenu kisha ya wanasiasa waachieni wanasiasaKalemani ni ndugu yake na kumbuka ndiye aliyerithi Jimbo la Uchaguzi la Chato toka kwa Jiwe; lazima ameishamueleza kuwa ataendelea kuwa Waziri wa nishati!!