Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,341
poa nimekuelewa mkuu, sisi ccm ni waelewa tukieleweshwa[emoji16][emoji16]Baraza la mawaziri limevunjwa na Rais si kwa matakwa yake bali kwa mujibu wa katiba. Hivyo Rais apende asipende lazima avunje Bunge na hatimaye baraza la mawaziri kwa sababu muda wake umekwisha kwa mujibu wa katiba. Na mawaziri wanaachishwa uwaziri kwa sababu muda wa kuitumikia serikali umekwisha kwa mujibu wa katiba na si kwa matakwa yake Rais. Hivyo mawaziri hawajastaafu bali wameachishwa na katiba na wanaweza kuteuliwa tena katika muhula mwingine wa Rais.