Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

View attachment 1629378
Huyu ni msukuma mwenzetu hahitaji uteuzi yeye ni direct Waziri
 
Emotional sio nzuri muwe mnasikiliza hotuba vizuri, Mimi nilimsikia waziri mkuu akimtaj kalemani Kama waziri wa nishati mstaafu
Mkuu siyo kwamba mleta mada hakusikia kasikia ila kachagua kuamini anachokiamini...
 
wewe ni mpotoshaji.umerukia tu hukutizama uzinduzi.mim nimekaa jana nimetizama.ametambulishwa kama waziri wa nishati mstaafu na aliyeshiriki kwa ukaribu mradi huo.so alikua pale kama watu walioshiriki kwa.ukaribu .ila aliyesema hotuba ya wizara kama mtendaji mkuu ni Engineer Zena Said.Katibu mkuu wa nishati .
acha roho za kimaskiini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

View attachment 1629378
Hicho kitufe kinabinywa na watu >4,dunia inatushangaa tunazindua hadi deviation tunnels?Viongozi wetu wanatumia vibaya raslimali zetu,kupoteza Mali na muda.
 
Sasa sherehe ya nini katika kuzindua njia ya mchepuko?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
anastahili kabisaa, tena naomba ikimpendeza Mhe. Rais huyo Dr. Kalemani asiondoke ktk wizara hiyo, huyo ni mchapakazi hodari sana tena sana.
 
yupo hapo kama consultant 🤣 🤣


ila huu mradi unatupa attention kubwa na muda mrefu sana kusubiri wakati wangenunua kinu cha nuclear kwa sasa wangekuwa wanafikiria kuuza umeme nchi gani na bei ingekuwa 50 per unit
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali.

Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki. Siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli. BIG UP!
Wapinzani hawaonagi positive! Wao ni negative tu!
 
Hivi si ngosha mwenzetu hyo ee
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.

Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!

Au ameshakula uteuzi kimya kimya?

View attachment 1629378
 
Acha ccm wapelekwe pelekwe na baadhi ya watu wasivyokuwa na aibu watakuja kutetea uvunjaji wa wazi wa katiba. Wizara zote zinatakiwa chini YA makatibu wakuu, ukiondoa mbili ambazo zina mawaziri ...lakini madodoki wataona hii ni sawa tu kwa sababu tu kalemani ni mtoto wa dada yake na Magufuli.

Dharau za katiba na taratibu za namna hii hata kwenye nchi za kifalme haiwezekani, it's only possible with arrogant dictators
Power corrupts. Absolute power corrupts absolutely.
 
Emotional sio nzuri muwe mnasikiliza hotuba vizuri, Mimi nilimsikia waziri mkuu akimtaj kalemani Kama waziri wa nishati mstaafu
Cheo cha uwaziri hakina kustaafu bali ni kufukuzwa, kuachwa au kujiuzulu. Baada ya hapo utaitwa waziri wa zamani!
 
Cheo cha uwaziri hakina kustaafu bali ni kufukuzwa, kuachwa au kujiuzulu. Baada ya hapo utaitwa waziri wa zamani!
Baraza la mawaziri limevunjwa na rais je hapo mawaziri wamefukuzwa? Wameachwa? Au wamejiuzulu?
 
Baraza la mawaziri limevunjwa na rais je hapo mawaziri wamefukuzwa? Wameachwa? Au wamejiuzulu?
Baraza la mawaziri limevunjwa na Rais si kwa matakwa yake bali kwa mujibu wa katiba. Hivyo Rais apende asipende lazima avunje Bunge na hatimaye baraza la mawaziri kwa sababu muda wake umekwisha kwa mujibu wa katiba. Na mawaziri wanaachishwa uwaziri kwa sababu muda wa kuitumikia serikali umekwisha kwa mujibu wa katiba na si kwa matakwa yake Rais. Hivyo mawaziri hawajastaafu bali wameachishwa na katiba na wanaweza kuteuliwa tena katika muhula mwingine wa Rais.
 
Back
Top Bottom