Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Yeye hana vyombo vya dola vya kumsaidia kuingiza kura haramu vituoni.
Alitambulikaje!Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Upo busy kujipendekeza manina nyumbani unaitwa baba.Lisu yuko bize na mabeberu
Wakuu cheo kitam asikwambie ,mtu ni wachache Sana wasio habudu cheo Kama Mimi Mbatizaji, kwamba sitakaki buguza , maana nimewai kataa vyeo kwa kisingizio ya mama na baba wahitaji ukaribu na Mimi, maana niliona vyaweza nipanda kichwani kwenye shirika flan, yahani niwe gari zuri na derva wakati huo mda wote mabonde na milima kujibu sms au email nilisema no na itakua no kidogo changu Nile kwa Raha na familia yangu, na nipewe Raha na mama watoto!Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Alitambulishwa kama Waziri wa nishati mstaafu! Kwa kutambua mchango wake katika bwawa hilo!.Kosa liko wapi sasa! Kuleta habari humu bila kufuatilia ni Upuuzi!Hebu ww mwenye akili sema tukio lilikuwa je?
Wakuu nafikili ni mda wa kujikuta na tz KWANZA ,taifa kwanza ,mombo mengine badae,Alitambulishwa kama Waziri wa nishati mstaafu! Kwa kutambua mchango wake katika bwawa hilo!.Kosa liko wapi sasa! Kuleta habari humu bila kufuatilia ni Upuuzi!
Huna tofuti na Juma LokoleNaona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Kiprotokali na nadhani hata Kikatiba limefanyika Kosa Kubwa Yeye kuwepo hapo na badala yake aliyetakiwa kuwa hapo ni Katibu Mkuu wa Wizara.Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Tunaongozwa na mtu mmoja kihuni, kibabe na kimafia.Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe wakiwa na waziri mkuu.
Alaa kumbe awamu hii ni mtu unapigiwa simu tuu na kupewa majukumu ya uwaziri na unakula tu per diem then kesho unaganga kwingine!
Au ameshakula uteuzi kimya kimya?
View attachment 1629378
Hakujali hilo, alichojali kubonyeza kitufeAmetambulishwaje?
😂😂😂Bongo raha Naskia na pilau wamekula huko huzindua huo mchepukoHivi Kweli, Tuseme Kweli Bila Kutia Mahaba Yoyote
Mchepuko Wa Maji Unahitaji Sherehe Kweli
Serikali Inahamishia Nguvu Kwenye Tukio Ambalo Mkandarasi Akimwaga Zege Sherehe!!!
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
😁😂😀😅😏😐
Merdard Naye Kapenya Anajichotea Cheo 🙄😏😐
Kama Yule Aliyetuma Sms Kuwa Umeapa Vizuri
😆😃😏😅😁😂🤣😅😄😏😏
😁😂😀😅😄😃😀😁😂😂😂😂Bongo raha Naskia na pilau wamekula huko huzindua huo mchepuko
Emotional sio nzuri muwe mnasikiliza hotuba vizuri, Mimi nilimsikia waziri mkuu akimtaj kalemani Kama waziri wa nishati mstaafu
Ahahahahahahahahahha! OK! Ahahahahahahahahahahaj!Hakujali hilo, alichojali kubonyeza kitufe