Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Watu kwao Burundi na Rwanda
Kwa nini siyo Watusi umetumia Wahutu ?
Watu kwao Burundi na Rwanda
Huoni mapua mapanaKwa nini siyo Watusi umetumia Wahutu ?
ChattleHivi Kalemani ni Mbunge wa wapi?
Huoni mapua mapana
Hawajatoka EthiopiaHayo unayoyaita mapua mapana yana uhusiano gani na Unyarwanda/Urundi ?
Kaenda kumkabidhi waziri mkuu alikofikia sioni kama ni shida.Duuh sasa kaenda kama nani!!!!
Hawajatoka Ethiopia
Huko ufipa mnalialia tu ya ccm yanawahusu nini?Sheria ni mtu mmoja!
Kafuatilia tukio lenyewe,alienda hapo kama nani acha kubwabwaja !Banana Republic..
Unakuta hajawaapisha watu na anawapigia na kuwapa maagizo
Kaangalie Tukio lenyewe! Mnapenda sana kukosoa! ,Mambo mengine ni bora kukaa kimya,mnaonekana hamna akili!.ACHA CCM WAPELEKWE PELEKWE ,,....NA BAADHI YA WATU WASIVYOKUWA NA AIBU WATAKUJA KUTETEA UVUNJAJI WA WAZI WA KATIBA ....WIZARA ZOTE ZINATAKIWA CHINI YA MAKATIBU WAKUUU ...UKIONDOA MBILI AMBAZO ZINA MAWAZIRI ...LAKINI MADODOKI WATAONA HII NI SAWA TU ......KWA SABABU TU KALEMANI NI MTOTO WA DADA YAKE NA MAGUFULI ...
DHARAU ZA KATIBA NA TARATIBU ZA NAMNA HII HATA KWENYE NCHI ZA KIFALME HAIWEZEKANI ........ITS ONLY POSSIBLE WITH ARROGANT DICTATORS
ChatoHivi Kalemani ni Mbunge wa wapi?
Ni kweli kabisa font nyekundu, je ulitakaje kwa mfano?Nikukumbushe tu, kwa Chadema na ACT Wazalendo ni kwamba Tanzania haina serikali.
Namuona hata Zitto analalamika tu, sijui anamlalamikia nani..
Itawale kijanja wewe basiNchi inatawaliwa kishambaa
Kaangalie Tukio lenyewe! Mnapenda sana kukosoa! ,Mambo mengine ni bora kukaa kimya,mnaonekana hamna akili!.