Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Hizo ni speculations tu.Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma?
Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais.
Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale Arusha lakini hakuna taarifa rasmi kama Raisi ameshawasili. Je atakuja moja kwa moja na kuelekea chuga bila kupumzika? Na zitakuwa zimebaki siku mbili tu kuelekea mei mosi...
Mama amekimbia ameona hali teteKuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma?
Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais.
Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale Arusha lakini hakuna taarifa rasmi kama Raisi ameshawasili. Je atakuja moja kwa moja na kuelekea chuga bila kupumzika? Na zitakuwa zimebaki siku mbili tu kuelekea mei mosi...
Aaah wapi siku mbili hizi zimebaki tiket ndege kuja bongo zimejaa.Hizo ni speculations tu.
Sisi wafanyakazi tunachojua ni kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwepo kwenye sherehe za Mei mosi na atakata Kiu ya wafanyakazi kwa kuwaongezea mishahara yao, ambayo haijaongezwa kwa muda mrefu Sana
👣Kendall watafutia watoto
Mkuu hii Imani itakupeleka mbali sana. Ishikilie, kamwe usiiache.Hizo ni speculations tu.
Sisi wafanyakazi tunachojua ni kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwepo kwenye sherehe za Mei mosi na atakata Kiu ya wafanyakazi kwa kuwaongezea mishahara yao, ambayo haijaongezwa kwa muda mrefu Sana
Lolote laweza kutokeaKuna haja ya kuanza kufikiria upya hili jambo!!!isije ikawa ni swala la kiusalama zaidi kwamba kaomba hifadhi Kule America kimya kimya baada ya wenye nchi kutoridhishwa na utendaji wake!!!!tukapigwa changa la macho kuwa ni royal tour!!!Mi NAANZA kupata wasiwasi hii sio sawa kabisa SIKU karibu kumi nje ya nchi jamani!!!kurugenzi ya ikulu itoe tamko!!!
Ok, imani yako itakuponya.Mkuu hii Imani itakupeleka mbali sana. Ishikilie, kamwe usiiache.
Hata akipimwa hawawezi kuweka wazi majibu, ataendelea kuchapa kazi mbele, nyuma.Kuna watu wawili aliokutana nao Rais Samia Marekani wamekutwa wana virusi vya Covid-19.
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na Mkurugenzi wa IMF.
Rais Samia kashapimwa ajulikane kama yupo salama? Wananchi wametangaziwa hali yake?
Tatizo hata yule mwingine tuliambiwa anachapa kazi, kazi ikamchapa yeye.Hata akipimwa hawawezi kuweka wazi majibu, ataendelea kuchapa kazi mbele, nyuma.
Mkuu kumbuka hii ni Afrika na kule alipokuwa ni dunia nyingine kabisa!.