Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma?
Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais.
Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale Arusha lakini hakuna taarifa rasmi kama Raisi ameshawasili. Je atakuja moja kwa moja na kuelekea chuga bila kupumzika? Na zitakuwa zimebaki siku mbili tu kuelekea mei mosi...