Je, Mei Mosi bila uwepo wa Rais wa JMT itanoga?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma?

Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais.

Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale Arusha lakini hakuna taarifa rasmi kama Raisi ameshawasili. Je atakuja moja kwa moja na kuelekea chuga bila kupumzika? Na zitakuwa zimebaki siku mbili tu kuelekea mei mosi...
 
Hizo ni speculations tu.

Sisi wafanyakazi tunachojua ni kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwepo kwenye sherehe za Mei mosi na atakata Kiu ya wafanyakazi kwa kuwaongezea mishahara yao, ambayo haijaongezwa kwa muda mrefu Sana
 
Mama amekimbia ameona hali tete
 
Hizo ni speculations tu.

Sisi wafanyakazi tunachojua ni kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwepo kwenye sherehe za Mei mosi na atakata Kiu ya wafanyakazi kwa kuwaongezea mishahara yao, ambayo haijaongezwa kwa muda mrefu Sana
Aaah wapi siku mbili hizi zimebaki tiket ndege kuja bongo zimejaa.
 
Kwani shida ya wafanyakazi ni kumuona raisi au kutatuliwa kero zao?
Hata akiwepo waziri wa kazi Mama Ndalichako kama kero zitatatuliwa itakuwa heko na furaha kuliko aje SSH halafu aishie kupiga porojo za vita ya Ukraine
 
Kuna haja ya kuanza kufikiria upya hili jambo!!!isije ikawa ni swala la kiusalama zaidi kwamba kaomba hifadhi Kule America kimya kimya baada ya wenye nchi kutoridhishwa na utendaji wake!!!!tukapigwa changa la macho kuwa ni royal tour!!!Mi NAANZA kupata wasiwasi hii sio sawa kabisa SIKU karibu kumi nje ya nchi jamani!!!kurugenzi ya ikulu itoe tamko!!!
 
Hizo ni speculations tu.

Sisi wafanyakazi tunachojua ni kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwepo kwenye sherehe za Mei mosi na atakata Kiu ya wafanyakazi kwa kuwaongezea mishahara yao, ambayo haijaongezwa kwa muda mrefu Sana
Mkuu hii Imani itakupeleka mbali sana. Ishikilie, kamwe usiiache.
 
Kuna haja ya kuanza kufikiria upya hili jambo!!!isije ikawa ni swala la kiusalama zaidi kwamba kaomba hifadhi Kule America kimya kimya baada ya wenye nchi kutoridhishwa na utendaji wake!!!!tukapigwa changa la macho kuwa ni royal tour!!!Mi NAANZA kupata wasiwasi hii sio sawa kabisa SIKU karibu kumi nje ya nchi jamani!!!kurugenzi ya ikulu itoe tamko!!!
Lolote laweza kutokea
 
Kuna watu wawili aliokutana nao Rais Samia Marekani wamekutwa wana virusi vya Covid-19.

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na Mkurugenzi wa IMF.

Rais Samia kashapimwa ajulikane kama yupo salama? Wananchi wametangaziwa hali yake?
 
Hata akipimwa hawawezi kuweka wazi majibu, ataendelea kuchapa kazi mbele, nyuma.

Mkuu kumbuka hii ni Afrika na kule alipokuwa ni dunia nyingine kabisa!.
 
Tatizo hata yule mwingine tuliambiwa anachapa kazi, kazi ikamchapa yeye.

Mficha maradhi, maiti humfichua.

Si wanatoa vimemo kila siku rais kafanya hiki na kile?

Wampime tu watoe matokeo kama mbivu au mbichi watu wajue.
 
Back
Top Bottom